Mufti wa Tanzania : Mwezi haujaandama, sikuu Jumanne

Mufti wa Tanzania : Mwezi haujaandama, sikuu Jumanne

Kalenda za mwaka huu zimechapwa tokea mwezi wa 11 mwakajana, zinaonyesha sikukuu ya Eid ni tarehe 03/05 siku ya jumanne kwahiyo siku zote serikali na sikukuu hii inaongozwa na wanasayance
 
Ila maaskofu mashoga wanaaminiana?
#MaendeleoYanaChama
na hawa
Screenshot_20220502-083117.jpg
 
Kwamaana hiyo anauhakika leo utaandama utake usitake.... nchi hii tunaishi kisanii sana
 
Sikukuu ya IDI imekuwa ikikanganya watu, haieleweki siku ya sikukuu.

Kwanini Sikukuu hii haina siku maalumu?
Kwa sababu inategemea mwandamo wa mwezi au kumalizika kwa mfungo.
 
VAR imegoma, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usisahau kwamba CCM inaongozwa na low mind Samia unayemsifiaga

Kwa hiyo kama unamkataa shetani (CCM) kataa na fahari zake zote (including raisi wa bahati mbaya Bi. Mikopo)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bi Mikopo, lol
 
Kwamaana hiyo anauhakika leo utaandama utake usitake.... nchi hii tunaishi kisanii sana
Leo mwezi utakuwa mkubwa kama juwa ndio utaona aibu ya watu lakini wale mishipa ya aibu imeshakatika. Mwezi wa siku ya kwanza mdogo sana na shida kuona leo hata kipofu ataona mwezi lakini kwakuwa hawana aibu basi kimyaa.
 
Your mufti is an idiot, mwezi mkubwa hivi anasema hakuandamana Jana?
 
Mufti wa Tanzania,Abubakary Zuberi amewatangazia waumini
wa dini ya Kiislam nchini Mwezi haujaandama, hivyo Waislam wakamilishe funga ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani kesho Jumatatu, hivyo sikukuu itakuwa keshokutwa Jumanne tarehe 03/05/2022.

Kwa hiyo kesho watu waendelee kupiga kazi.
Mufti wa Tanzania ni muongo, mnafiki na anatumika kisiasa kwa kumtumia yule wa mkoa wa dar.
Ukweli ni kwamba mwezi uliandama jana. Na siyo leo! Mwezi ulionekana TANDAHIMBA
mimi ni muislamu leo nimefunga lakini haikuwa sawa hata kidogo.
Mufti acha kutumika kisiasa.
Iweje mwezi uandame kenya, uganda, Burundi, Ethiopia, Sudan, ushindwe Tanzania?
Huo ni unafki
 
Back
Top Bottom