Mugabe Mungu anakuona ujue!

Tupieni na ya mzee kichefuchefu moja
1 serikali aikuleta. tetemeko watu bukoba mta JJ
2rushwa ya trafiki ni ya kupigia kiwi viatu
3 fotoeni watoto elimu bure[emoji90]
 
Tupieni na ya mzee kichefuchefu moja
1 serikali aikuleta. tetemeko watu bukoba mta JJ
2rushwa ya trafiki ni ya kupigia kiwi viatu
3 fotoeni watoto elimu bure[emoji90]
Za huyu jamaa sidhani kama zinaelimisha na kutafakarisha. Ila za mugabe kwa hali ya nje utafikiri ni utani ila ukikaa na kuziwaza ndiyo utajua fumbo lililopo ndani
 
Za huyu jamaa sidhani kama zinaelimisha na kutafakarisha. Ila za mugabe kwa hali ya nje utafikiri ni utani ila ukikaa na kuziwaza ndiyo utajua fumbo lililopo ndani
Zinatuelimisha kuwa umilembe unausika
 
Hiyo inaonyesha kutokuwa na uelewa wa maana ya serikali na wajibu wake kwa taifa
Husasani kipindi hiki. Mtu unadanganywa na bado unakubali ilhali uthibitisho uko. Sasa hapo huoni ni funzo kuliko huyo anayesema zalianeni
 
Husasani kipindi hiki. Mtu unadanganywa na bado unakubali ilhali uthibitisho uko. Sasa hapo huoni ni funzo kuliko huyo anayesema zalianeni
Tatizo letu atujui maana ya magonjwa ya akili tutajuaje wakati hata maana ya akili atujui watu wanazani ugonjwa wa akili ni kuokota makopo kutembea uchi kumbe kitaalamu hata mtu kuwa msafi kupita kawaida inaweza kuwa ni dalili za ugonjwa wa akili hasira chuki visasi ila siyo kila hasira chuki na visasi ni dalili za ugonjwa
 
Watanzania wengi ndivyo wanavyofikiria ndugu
 
Mugabe ni babu, kutaniwa ni kawaida.
Mugabe ni Msomi aliyetukuka. Ana degree 11.
Alifungwa Jela miaka11 , na alilitumia muda huo vizuri.
Wazungu na hasa Waingereza wanamjua Mugabe vizuri kiasi kwamba wanashindwa kumtolea changamoto kwa lugha yao.
Mwache babu y etu.
He is the brightest black African President still alive. Long live Mr. President Robert Mugabe.
 
Na hataki kuachia kiti. Akili yake imeanza kurudi utoto maana hata hayo maneno ni ya enzi za utoto pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…