Mugabe noma sana aise

Kiongozi asie na mikakati kiuchumi hana sifa ya umahiri.Kiongozi mwenye chuki busara zipo mbali naye.
mbona hapa TZ tuna kila kitu mfano ;natural gas, gold, diamonds, coal, iron ore, uranium, nickel, chrome, tin, platinum, coltan and niobium
ila mikakati na busara zetu zipo kwenye misaada kutoka kwa wahisani kama MCC sasa hapo kunatofauti na Mugabe kifikra
inchi ya tatu kwa kutoa dhahabu afrika bado tunaangaika na madawati ya shule za msingi huku wenzetu wanasumbua ubongo kuvumbua mbinu mpya za tekinologia sasa hapo mikakati yetu ni ipi mdau ebu nieleweshe
 
Sikusema kama sisi ni mahiri
 
Coltan inapatikana wapi Tanzania?
 
Wabongo bana! Mnampenda sana Mugabe lakini Magufuli kaanza kuiga kiburi cha Mugabe kwa kuwatolea Maneno ya shombo wahisani tumeanza kumlaumu!
Magufuli una mfananisha na nani..
Magu anafanana na Makonda tu !
Mugabe ni Habari ingine....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…