BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
evidence........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
evidence........
mbona hapa TZ tuna kila kitu mfano ;natural gas, gold, diamonds, coal, iron ore, uranium, nickel, chrome, tin, platinum, coltan and niobiumKiongozi asie na mikakati kiuchumi hana sifa ya umahiri.Kiongozi mwenye chuki busara zipo mbali naye.
kweli kabisaHapana kiongozi Mugabe ndiyo Mwanasiasa mahiri aliyebaki katika bara la afrika wengine wazugaji tu hakuna jipya
Sikusema kama sisi ni mahirimbona hapa TZ tuna kila kitu mfano ;natural gas, gold, diamonds, coal, iron ore, uranium, nickel, chrome, tin, platinum, coltan and niobium
ila mikakati na busara zetu zipo kwenye misaada kutoka kwa wahisani kama MCC sasa hapo kunatofauti na Mugabe kifikra
inchi ya tatu kwa kutoa dhahabu afrika bado tunaangaika na madawati ya shule za msingi huku wenzetu wanasumbua ubongo kuvumbua mbinu mpya za tekinologia sasa hapo mikakati yetu ni ipi mdau ebu nieleweshe
Coltan inapatikana wapi Tanzania?mbona hapa TZ tuna kila kitu mfano ;natural gas, gold, diamonds, coal, iron ore, uranium, nickel, chrome, tin, platinum, coltan and niobium
ila mikakati na busara zetu zipo kwenye misaada kutoka kwa wahisani kama MCC sasa hapo kunatofauti na Mugabe kifikra
inchi ya tatu kwa kutoa dhahabu afrika bado tunaangaika na madawati ya shule za msingi huku wenzetu wanasumbua ubongo kuvumbua mbinu mpya za tekinologia sasa hapo mikakati yetu ni ipi mdau ebu nieleweshe
Magufuli una mfananisha na nani..Wabongo bana! Mnampenda sana Mugabe lakini Magufuli kaanza kuiga kiburi cha Mugabe kwa kuwatolea Maneno ya shombo wahisani tumeanza kumlaumu!