Mugabe (Qchief) ampa onyo kali Mzee Warioba (TID)

Mugabe (Qchief) ampa onyo kali Mzee Warioba (TID)

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia Kwenu wana JF,

TID alifanya interview na kituo kimoja cha TV ambacho alieleza nini kilikuwa chanzo cha beef kati yeye na Qchief Alias Mugabe (Formerly was known as Savimbi) alisema chanzo ni pesa na bla bla kibao.

Katika kubalance Story mwandishi alijaribu kumpandia hewani Mugabe na ndipo alipoweka wazi kwamba TID (Mzee kigogo Warioba)

Alimdhulumu mtonyo wa millioni 7 na maneno aliyopayuka kwenye interview ni sababu ya kula unga, amemshauri aache kula ngada (unga) pia arudi kwenye hali ya ubinadamu coz hastahili binadamu kujiita mnyama.
 
ww mbona unapenda kumponda sana TID Ina maana jamaa hana zuri alifanyalo.
 
TID anajijiita warioba kwa vile naye mwembamba?unga noma nikikumbuka huyu jamaaa miaka ile yuko magic na leo huzuni tupu bongo mafi
 
Teh Teh naona vita vikali kati yao duu!
 
TID anajijiita warioba kwa vile naye mwembamba?unga noma nikikumbuka huyu jamaaa miaka ile yuko magic na leo huzuni tupu bongo mafi

kibichwa kile unakionaje na uwalaza,kama mzee wetu Joseph Sinde Warioba.
 
Embu weka picha yake ya Siku za hivi karibuni

1423685011347.jpg
 
Warioba ana mtonyo kiaina sasa hivi. .kavuta kadhaa mtonyo wa ccm kupitia makamba jr
 
Back
Top Bottom