King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia Kwenu wana JF,
TID alifanya interview na kituo kimoja cha TV ambacho alieleza nini kilikuwa chanzo cha beef kati yeye na Qchief Alias Mugabe (Formerly was known as Savimbi) alisema chanzo ni pesa na bla bla kibao.
Katika kubalance Story mwandishi alijaribu kumpandia hewani Mugabe na ndipo alipoweka wazi kwamba TID (Mzee kigogo Warioba)
Alimdhulumu mtonyo wa millioni 7 na maneno aliyopayuka kwenye interview ni sababu ya kula unga, amemshauri aache kula ngada (unga) pia arudi kwenye hali ya ubinadamu coz hastahili binadamu kujiita mnyama.