Mugabe's messages for valentine

Mkuu na wewe utakuwa unauza unga, jisalimishe mwenyewe.
Ndiyo nauza unga wa mahindi, na ngano kibanda changu kiko Mbagala Kuu shuleni. Ndio hivyo najisalimisha kwenu wateja wangu wa zamani na wapya kama wewe ili mje mniunge mkono. Yaani kwa sasa bidhaa hii ya unga wa mahindi (sembe) siku hizi ina kata mtaji...yaani ela inarudi kwa mbinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…