Mimi ni miongoni mwa washabiki wa Simba ambao tulikuwa tunakerwa sana na jinsi Mugalu alivyokuwa anakosa magoli ya wazi awapo mchezoni.
Lakini kwa yale magoli aliyofunga dhidi ya KMC jana ambayo ni classic, naona sasa amejielewa na angefanya hivyo tangu alipowasili, fainali ingekuwa yetu kama sio kuchukuwa kombe la CAF.
BIG UP MUGALU AND KEEP IT UP.