Mugalu, Kagere na Thadeo Lwanga hawajam-impress kocha Zoran

Mugalu, Kagere na Thadeo Lwanga hawajam-impress kocha Zoran

Unakumbuka guadiaola anakuja city, taarifa alizipata wakati huo Manuel peregrine alikuwa mzigoni city, jamaa akanza kusuggest wachizaje ambao angalau angependa wawemo kwa kuanzia!

Jamaa aliwahi kumpigia simu Gabriel Jesus kuwa ana malengo nae na kwamba akija city atakuwa bora zaidi, Sterling timu ya taifa alikuwa anabezwa Sana jamaa akamchek akamtia moyo mpaka dogo kaondoka city bado Yuko [emoji91]

Kumbuka gundogan wakat anakuja city, alikuwa na majerehi yaliyomweka mda mrefu pending lakin jamaa alilazimisha aje hivyo hivyo!

Tanzania tunahitaji kubadilika
Structure za uongozi kwa vilabu vya Africa na Ulaya ni mbingu na ardhi.

Makocha wengi wanaokuja katika bara la Africa ni kama wengi hawajui wachezaji kwenye nchi zingine kwa sababu ligi nyingi hazionekani.

Huyo kocha atakupa pendekezo la mchezaji gani ukiondoa wachezaji wanaocheza kwenye CAFCL na CAFCC?.

Ni heri viongozi wasajili litabaki suala la mwalimu kutengeneza kikosi kupitia wachezaji waliopo.

Patrick Ausems hakuwahi kulalamikia kikosi except alipoondoka Okwi., Sven hajawahi kulalamikia Kikosi alichokikuta na aliweza kuandaa timu ya ushindani kupitia wachezaji wale wale aliowakuta wamesajiliwa na viongozi.
 
Mugalu katucost sana Kwa kukosa goli za wazi na majeruhi mara Kwa mara,, lwanga form haijarudi na Kagere sijui nini kimemkuta, bocco anabebwa sababu ya uzawa
Si kweli Timu yetu msimu uliopita haikuwa na ubora kwenye maeneo mengi ya uwanja.

Na Simba kufanya vibaya msimu uliopita ni kutokana na mwalimu kushindwa kutengeneza squad ya ushindani wakati alikuwa na wachezaji wengi wenye uwezo wa kumpa matokeo.

Hao kina Mugalu na Kagere tuwaache kwa sababu zingine kabisa ila siyo kukosa chances za magoli.

After all Mugalu na Bocco msimu uliopita walikuwa na majeraha ya mara kwa mara ndiyo maana hawakuwa sawa uwanjani lakini bado wanaweza sana kukupa squad depth nzuri.
 
Tatizo lilikopo simba ni mgogoro wa viongozi, unatafuna ndani kwa ndani. Yaan sijui hata nn kifanyike. Khaaaah.
Huwa nawapenda mashabiki wawazi na wakweli kama wewe. Hili liko Wazi Sana ndani ya Simba kuna shida Kwa Sasa, malizeni mgogoro wenu tunataka soka Sisi.
 
Kuna wakati viongozi wa simba nao wanajichanganya. Tatizo la wachezaji wa Safu ya ushambuliaji lilionekana hata kwa mtu asiyejua mpira.

Mugalu ligi inaisha hana goli hata Moja halafu majeruhi kila siku. Bado unamkumbatia unaenda naye pre- season kwa gharama kubwa.

Kagere tatizo ni umri. Moyo unataka mwili unagoma.

Lwanga tatizo lake ni majeruhi.

Kigezo cha kocha kusajili ni sawa , lakini wakati mwingine napo ni patapotea kama utakutana na kocha mpiga madili. Mfano , Nabi kamsajili chiko ushindi . Leo hii chiko Yuko wapi?

Kuna kocha fulani wa Yanga jina nalihifadhi alipewa Kazi ya kusajili lakini kilichotokea kila mtu ni shaihidi. Alienda kuwazoa hakina Kindoki (kipa), PAPAA moringa (toto ya ndama) , Surpong (Mwili jumba) , Maybin karengo na Yipe Yanga kikawa kichekesho.

Itoshe tu kusema wakati mwingine usajili ni kama kamali.kuna kupata au kuliwa.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Naomba nikusahihishe kuhusu Chiko. Hakusajiliwa kabisa na Nabi, Yanga wenyewe wanajua. Yule kiungo wao Mukoko hakutaka kuwekwa kabisa benchi wakati wao walitaka Aucho acheze maana ndo mkataba wake ulivyotaka. Wakalazimika kumtema mmoja na timu iliyomchukua haikutaka kutoa fedha ndo maana wakawapa mchezaji majanga Kwa majeruhi Chico Ushindi anayecheza nafasi tofauti na waliyemtoa.
 
Elezeni Ukweli ziliko B20 vinginevyo....laana ya kumnyang'anya Timu mzee kilomoni...

Kufoji hati miliki za Jengo kwa kushirikiana na Makonda kumpa muhindi ili anunue Timu kwa B20 za Mchongo hakutawaacha salama..

Mwenyekti wa Simba yupo yupo hata hajui Timu inasajili vipi na inaendeshwaje....

Kuwafanya Simba mambumbumbu ni laana...

Na bado...
Mawazo ya washangiliaji.
 
Do you like losing? Why tf would you retain these players? Unataka kushindana na Yanga bado wachezaji wako ni kagere, mugalu & lwanga? You're Not serious.
 
Viongozi washakula ganji lao wanapiga miluzi na ukisema uvunje mkataba unatakiwa umlipe mchezaji wakati hajacheza hata mechi moja,dadadeki na siku za usajili zina yoyoma.
 
Do you like losing? Why tf would you retain these players? Unataka kushindana na Yanga bado wachezaji wako ni kagere, mugalu & lwanga? You're Not serious.
Simba sio level ya yanga, yanga Ni level ya akina mtibwa , toto , ihefu nk, Simba Ni level nyingine ya juu Sana usiifananishe na uto, akili ya Simba inawaza nusu final kwnda mbele ya CUF champions league, yanga anawaza kombe la shirikisho , mapinduzi na ngao ya jamii!

Usiifananishe Simba na Kinye FC
 
Tetesi zinasema mastraika wa kigeni wawili, Maddie Kagere na Chris Mugalu, pia kiungo Thadeo Lwanga hawajam-impress kocha zoran na kutanabaisha kabisa kuwa hawako kwenye mipango yake msimu huu na hivyo kuwaambia viongozi wao wamalizane nao haraka sana!

Pia taarifa zaidi zinasema , hata miongoni mwa wachezaji wapya waliosajiliwa, Kuna mmoja Hana viwango huku amenunuliwa kwa mpunga mrefu!

Viongozi wetu wa Simba sports club kama tutahitaji kufikia malengo, Basi msikilizen kocha anavyotaka, sio tung'ang'ane na mafikirio yetu , mwisho wa siku tumfukuze kimazoea.

My take: Ni muhimu kabla hatujaanza kusajili tumshirikishe kocha, kocha aweke majina ya watu ambao anauhakika na uwezo wao kulingana na mfumo wake.

View attachment 2307869View attachment 2307880
Kwa hiyo wamepandishwa ndege kuja kumalizana na uongozi ambao uko chini ya CEO waliyemuacha Misri? Usituone mapimbi asee
 
Back
Top Bottom