Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Structure za uongozi kwa vilabu vya Africa na Ulaya ni mbingu na ardhi.Unakumbuka guadiaola anakuja city, taarifa alizipata wakati huo Manuel peregrine alikuwa mzigoni city, jamaa akanza kusuggest wachizaje ambao angalau angependa wawemo kwa kuanzia!
Jamaa aliwahi kumpigia simu Gabriel Jesus kuwa ana malengo nae na kwamba akija city atakuwa bora zaidi, Sterling timu ya taifa alikuwa anabezwa Sana jamaa akamchek akamtia moyo mpaka dogo kaondoka city bado Yuko [emoji91]
Kumbuka gundogan wakat anakuja city, alikuwa na majerehi yaliyomweka mda mrefu pending lakin jamaa alilazimisha aje hivyo hivyo!
Tanzania tunahitaji kubadilika
Makocha wengi wanaokuja katika bara la Africa ni kama wengi hawajui wachezaji kwenye nchi zingine kwa sababu ligi nyingi hazionekani.
Huyo kocha atakupa pendekezo la mchezaji gani ukiondoa wachezaji wanaocheza kwenye CAFCL na CAFCC?.
Ni heri viongozi wasajili litabaki suala la mwalimu kutengeneza kikosi kupitia wachezaji waliopo.
Patrick Ausems hakuwahi kulalamikia kikosi except alipoondoka Okwi., Sven hajawahi kulalamikia Kikosi alichokikuta na aliweza kuandaa timu ya ushindani kupitia wachezaji wale wale aliowakuta wamesajiliwa na viongozi.