Mugalu kapost picha instagram saa 8 usiku akiwa anatafuta goli vs Yanga, atukanwa vibaya

Simba haijafanya vibaya maana hata mashindano hayajaanza...usihitimishe bado mapema sana.
 
Mugalu Mugalu tujuane
 
siyo 100 ongeza sifuri iwe asilimia 1000 nenda insta utaikuta , striker mugalu
Sijasema kuhusu jina la account, nimesema mmiliki wa account. Una uhakika ni yeye? Kwanza katika hisabati huwa hakuna asilimia inayokuwa inazidi 100 ukiondoa zile za makisio
 
"Sifa moja kubwa ya Mugalu anakaba mabeki"hao team Mugalu wanasema hivyo.

Twende sasa kwenye uhalisia,Simba kwa stricker kama Mugalu nafasi 5 hafungi wala agongeshi mwamba yeye ni kupaisha tu mbona hata makundi CAFCL hatutoboi.
Uliona mbali sana, Yametimia.😜😜
 
Mugalu alishasema hana account ya instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…