Mugalu ni bora kuliko Mayele 50!

Kesho tu wataanza kumdiss tena, hawa si ndo walikua wanamlaumu kocha kwa kumuanzisha huyu jamaa. Leo kisa kafunga basi misifa kedekede, wamefuta makosa yote kwa mechi 1.

Akiboronga mechi ijayo wanamkalia kooni kocha kwa kumkumbatia.
 
ni ahlan wasahlan ......not "alhan"

Simba moja Mzee ....
 
Ana magoli mangapi kwenye ligi kuu ya bongo
 
Mashabiki wa simba bhana! Dakika 2 mbili zilizopita utawasikia 'hatumtaki Mugalu'! Dk mbili zijazo, 'Mugalu' ni mchezaji bora kuliko Mayele! 😁😁
 
fforward wa nyiokoo, kachunge ng'ombe hukooo
Mi ni simba damu ila tangu nipate akili timamu na nianze kushabikia soka la bongo sijawahi kuona forward hatari kama MAYELE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…