Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Hii ni platform ya kutambulishana au kutoa maoni ?Umejificha kwa ID bandia halafu unakazana umecheza mpira ,nani anakujua hapa? Kama vipi jitambulishe wewe ni nani weka na picha tutakufahamu tu.
Mtamkataa huyo dube muda mwalimuDube atatufaa Simba.
Kwa sisi tuliowahi kucheza mpira wa ushindani tunajua.
Dube ana miaka 23 kwa sasa yaani ndo kwanza anachipuka.
Dube ana talent zote za mfungaji mahili.
Kwenye timu yake ya awali huko Zimbabwe Dube alifunga sana ktk mechi za Kimataifa hata Azam alifunga ndo maana wakamchukua ktk tim yao.
Dube ana
Kasi
Tageti
Shuti kali
Hadaa
Position vizuri
Stamina (msuli mkubwa)
Piga chenga mabeki.
NK
Dube anakilakitu kinachohitajika ktk mshambuliaji.
Humu nilisha mkosoa Mugalu siku nyingi nikashutumiwa sana kusema namchukia.
Wakamtetea kwamba ni Mkabaji mzuri.
Dube akija Simba ataendelea kukua kichezo na ki umri atakuja Kutisha baadae kidogo tu.
Mi nazungumza kama Mchezaji Mpira niliyecheza Beki na Winga kwamba Dube atatufaa Simba.
Pale Simba kwa sasa kama wanataka kusonga mbele wawaondoe.
Chikwende
Mugallu
Kagere na
Morrison ( ni mzuri ila ana mizaha sana, hayuko Siriaz ktk mechi muhimu
Wasajiri straiker wawili wanaweza kumchukua Dube na yule Beki wa AS Vita [emoji117]Djuma Shaabani ni mshambuliaji mzuri sana kuliko akikaa Beki.
Na wengine wawili.
Manara akizungumza na Rafiki yake Saidi Bakhresa atupe Dube, atatupa.
Nasema ni Manara pekee anayeweza kumshawishi Bahresa atupe Dube, wengine hawataweza.
Nazungumza kama mchezaji mpira wa zamani.
NB
Tungekuwa na Dube Kaizer Cheif tungewatoa kiulaini tu.
Mimi sina ninachotakiwa kuprove,wewe umedai ulicheza mpira ,ili tukuamini kwamba ulicheza mpira inabidi uthibitishe.Katika sheria na kanuni ,ukitoa madai fulani inabidi uthibishe kwa ushahidi.Mimi sidaiwi ushahidi kwakuwa sija assert chochote .Thibitisha madai yako kwamba ulicheza mpira.Hii ni platform ya kutambulishana au kutoa maoni ?
Kwanini usijitambulishe wewe kwanza alaf uniambie na mimi nijitambulishe ?
Alaf mbona kama umepatwa na Jazba kidogo nini tatizo ?
Jibu tafadhari.
Unazijua Sheria za Jamiiforum ?Mimi sina ninachotakiwa kuprove,wewe umedai ulicheza mpira ,ili tukuamini kwamba ulicheza mpira inabidi uthibitishe.Katika sheria na kanuni ,ukitoa madai fulani inabidi uthibishe kwa ushahidi.Mimi sidaiwi ushahidi kwakuwa sija assert chochote .Thibitisha madai yako kwamba ulicheza mpira.
Mwalimu hawezi kumchukua mwanafunzi anayejibu maswali mengi darasani akamuacha mwenye trend nzuri ya kuongoza mitihani ya mihula /katikati au mwisho wa mwaka.Dube hana kiwango cha kucheza Simba, muacheni aendelee kuimprove huko Azam
Bahati mbaya yenu mnaompendekeza Dube labda mmemuona katika mechi hizo za akina Yanga, Gwambina etc ila jamaa ni wa kawaida sana
Kuhusu Mugalu, Kocha anakaa na wachezaji muda mwingi zaidi kuanzia mazoezini mpaka kwenye mechi ila sisi mashabk tunamuona mchezaji ktk muda wa mechi tu tena dakika zisizozidi 90,,,,sasa hiki sio kipimo sahihi cha kusema eti Kagere ni bora zaidi ya Mugalu
Prince Dube hadi sasa ndiye mfungaji bora wa ligi yetu ya VPL.Mtamkataa huyo dube muda mwalimu
Dube laini sana mdau utarudi tena hapa kuleta malalamikoMchezaji huyu ameonyesha kiwango cha chini kabisa cha uchezaji ambacho hakilingani kabisa na hadhi ya Simba na hasa pale anapokosa magoli ya wazi mechi baada ya mechi.
Waliofanya scouting walifanya makosa makubwa kumleta Simba na badala yake amekuwa akituletea machungu makubwa na pale anapo poteza nafasi nyingi za wazi. Kwa mtazamo wangu mimi naona tija yake kwenye timu ni ndogo sana na nisingependa kumuona akiichezea Simba msimu ujao. Imagine, Simba tungekuwa na Dube leo tungekuwa wapi? Simba wafanye mchakato wa kumpata Dube mchezaji mwenye viwango ambaye anastahili kuchezea Simba na sio Azam. Hapa Simba itabidi wavunje benki ili msimu ujao aje Msimbazi kuziba pengo la striker ambaye ni clinical and tactical ambaye Simba inamkosa sasa hivi. Kwaheri Mugalu, we deserve someone better. Na cocha asipoangalia ataondoka nae kwani sisi wana Simba ameisha tu-boar kupita kiasi.
Tunataka mchezaji wa kuonyesha uwezo caf na sio ligi ya ridhaaPrince Dube hadi sasa ndiye mfungaji bora wa ligi yetu ya VPL.
Pia hao mastraika wa Simba msimu huu hawajawahi kuifunga Yanga ktk mechi ya VPL, Dube kaifunga.
Kumbuka goli la kuisawazishia Yanga lilifungwa na Beki Onyango na sio Straiker wa Simba.
Dube anayafanya hayo Mambo akitokea Majeruhi ya kuvunjika mkono ktk mechi ya kwanza na Yanga.
Ina maana hajacheza mechi nyingi na timu yake la sasa hivi angekuwa na magoli mengi zaidi.
Mi naenda kwa vigezo vya takwimu za uwanjani.
Kwa wecheza mpira wanamjua Price Dube ni nani.
Dube laini...!Dube laini sana mdau utarudi tena hapa kuleta malalamiko
Weee nae mbona unaongea utopolo sasa ata uyo kocha akikaa na mchezaji anampima vipi kiwango chake kama sio uwanjani ndani ya hizo dakika 90Dube hana kiwango cha kucheza Simba, muacheni aendelee kuimprove huko Azam
Bahati mbaya yenu mnaompendekeza Dube labda mmemuona katika mechi hizo za akina Yanga, Gwambina etc ila jamaa ni wa kawaida sana
Kuhusu Mugalu, Kocha anakaa na wachezaji muda mwingi zaidi kuanzia mazoezini mpaka kwenye mechi ila sisi mashabk tunamuona mchezaji ktk muda wa mechi tu tena dakika zisizozidi 90,,,,sasa hiki sio kipimo sahihi cha kusema eti Kagere ni bora zaidi ya Mugalu
Ndugu usidanganyike kwenye mashindano ya club bingwa afrika mpaka sasa hakuna namba 9 kafunga goli tatu ,anayeongoza ni winga anazo goli NNE na namba 9 wazuri wote wanazo 2 ,nimaloze kusema club bingwa afrika ni ngumu kwa namba 9 woteMugalu ni mchezaji wa hovyo sana na sijui kwanini kocha anapenda kumtumia na hii ni bahati mbaya kwa club ya Simba kuwa na makocha wanaopenda kutumia washambuliaji wabovu mfano Omog na Luizio na kocha gani sijui na Maguli,ni trending hiyo.
Lakini pia umeshauri asajiliwe Prince Dube. Ndio ni mchezaji mzuri ila kwa maoni yangu anaweza asilete matokeo chanya kwenye haya mashindano ya kimataifa......Anaweza kuwa mzuri kwenye michezo ya akina Ihefu,Gwambina n.k ila kwenye timu kubwa akashindwa.
Tutafute washambuliaji wazuri hata nje ya Africa hata 1 mwenye viwango vya kadiri kutoka hata Asia au ulaya mashariki.
Itakuwa ni kwer umechez mpira umeongea pointDube atatufaa Simba.