mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Ni kweli kabisa. Mugalu hana hadhi ya kuchezea Simba. Ni galasa.Mchezaji huyu ameonyesha kiwango cha chini kabisa cha uchezaji ambacho hakilingani kabisa na hadhi ya Simba na hasa pale anapokosa magoli ya wazi mechi baada ya mechi.
Waliofanya scouting walifanya makosa makubwa kumleta Simba na badala yake amekuwa akituletea machungu makubwa na pale anapo poteza nafasi nyingi za wazi. Kwa mtazamo wangu mimi naona tija yake kwenye timu ni ndogo sana na nisingependa kumuona akiichezea Simba msimu ujao. Imagine, Simba tungekuwa na Dube leo tungekuwa wapi? Simba wafanye mchakato wa kumpata Dube mchezaji mwenye viwango ambaye anastahili kuchezea Simba na sio Azam. Hapa Simba itabidi wavunje benki ili msimu ujao aje Msimbazi kuziba pengo la striker ambaye ni clinical and tactical ambaye Simba inamkosa sasa hivi. Kwaheri Mugalu, we deserve someone better. Na cocha asipoangalia ataondoka nae kwani sisi wana Simba ameisha tu-boar kupita kiasi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Nimekuwa mtetezu wa mugalu kwa muda mrefu..lakini na Mimi nimemchoka..jamaa Ni mpuuzi..afukuzwe haraka Sana!
Nisome hapo juu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Unamzungumzua Erasto Nyoni, aliyeziba pengo la Lwanga mcheza rafu,Simba striker zote zimechoka....anatakiwa atafutwe forwad mpya lakini kwa waliopo angalau mugalu na Boko ila mstaafu wa vita vya majimaji babu kagere hapana kwa kweli kachoka.
Kwa muono wangu pale simba,
Ikiwezekana wawa atupishe japo sio lazima na sioni ikitokea.
Kapombe aletewe namba mbili ya nje kama yule djuma anapatikana itafaaa.
Tshabalala atafutiwe mshindani mzawa kwani Gadiel karidhika, yupo busy na duka la nguo la mke wake.
Chikwende sioni akiadopt auzwe nje ikishindikana wampe mda.
Morrison atafutiwe mwanasaikolojia binafsi atatufaa.
Kagere na Nyoni wapewe nishai ya heshima na wastaafishwe wakigoma watupishe.
Kocha hampimi mchezaji uwanjani, anampima mazoezini. Mugalu anatupia sana mazoezini na kumshawishi kocha. Hata Etiene Ndayiragije alizuru mazoezi ya Simba akiwa kocha wa timu ya Taifa, alikwenda studio kumsifia MugaluWeee nae mbona unaongea utopolo sasa ata uyo kocha akikaa na mchezaji anampima vipi kiwango chake kama sio uwanjani ndani ya hizo dakika 90. Kila mchezaji anapimwa uwanjani ndani ya dakika 90 ambazo mashabiki ndo wanaziona sio mazoezi au kwenye vyumba vya kubadili nguo
Nyoni si kuachwa, hapo umepotoka.Simba striker zote zimechoka....anatakiwa atafutwe forwad mpya lakini kwa waliopo angalau mugalu na Boko ila mstaafu wa vita vya majimaji babu kagere hapana kwa kweli kachoka.
Kwa muono wangu pale simba,
Ikiwezekana wawa atupishe japo sio lazima na sioni ikitokea.
Kapombe aletewe namba mbili ya nje kama yule djuma anapatikana itafaaa.
Tshabalala atafutiwe mshindani mzawa kwani Gadiel karidhika, yupo busy na duka la nguo la mke wake.
Chikwende sioni akiadopt auzwe nje ikishindikana wampe mda.
Morrison atafutiwe mwanasaikolojia binafsi atatufaa.
Kagere na Nyoni wapewe nishai ya heshima na wastaafishwe wakigoma watupishe.
Iwe kacheza au hajacheza je anachokiongea kinamantiki ama lah nafikiri ndio jambo la msingi kuliongelea!!!Hoja hujibiwa kwa hoja ,acha papara na vihoja.
Nyoni alicheza vizuri au kwa kuwa tulishinda game na kaizer walikuwa hawaji ndio unasahau makosa yakeUnamzungumzua Erasto Nyoni, aliyeziba pengo la Lwanga mcheza rafu,
we unamjua Nyoni au unamsoma kwenye gazeti.
Kuna mpiga penati au faulo wa Simba wa kumzidi Nyoni ?
Mechi na Kaizer Chief ya Dar Nyoni na Lwanga nani alicheza vizuri ?
Na Nyoni ni Mzawa wa ndani.
We na ukae Kimya tu
Lwanga alipocheza na Kaizer na Nyoni alipocheza na Kaizer timu ilifanikiwa wapi.?Nyoni alicheza vizuri au kwa kuwa tulishinda game na kaizer walikuwa hawaji ndio unasahau makosa yake
Alipoteza pasi ngapi za wazi jambo ambalo hutolikuta kwa lwanga.
Unauliza nyoni na lwanga nani alicheza vizuri huku ukijua kabisa lwanga alitoka kwa kuumia.
Nasikitika kukuambia kuwa kama ulidhani unaufahamu mpira basi hauujui kabisa au unaangalia magoli tu.Lwanga alipocheza na Kaizer na Nyoni alipocheza na Kaizer timu ilifanikiwa wapi.?
We hujui mpira.
Kaizer hawaji ndo maelezo gani ? Nani aliwakataza wasije ?
Wa baki kuwa mshabiki tu