MUGALU: Persona Non Grata

kwa mtazamo wangu wa kawaida, mfumo unaotumika ndo unamfanya Mugalu pale simba aendelee kula namba hata ka tutamwona mbaya, falsafa za mkufunzi zinataka mshambuliaji ambaye anaweza fanya kazi zaidi ya moja na mshambuliaji ambaye hana kitete cha miguu.
Mugalu ananikumbusha enzi za mfungaji bora Mavugo katika mchi yake ila alipofika Bongo land mambo yakawa tofauti kabisa na akaonekana kama garasha lisilofaa kwa chochote, pia tujikumbushe kwa wenzetu hapo uingereza kuna wachezaji walichukuliwa wakaingia United wakawa ka maganda ya ndizi japo walisajiliwa kwa hela nyingi sana tena timu mbali mbali zikiwagombea ila mifumo na mazingira mapya yakawakataa kabisa
Mtizamo wangu ni huu, wachezaji hawa wa kigeni wako vizuri sana na ndo maana tukawasajili na mwanzoni walionesha kiasi walivyokuwa japo si ka tulivyowategemea, changamoto ni maziringa na jambo ambalo wengi ambalo huwa hatulionagi (kamati za fitna)
Ewe mugali ni mchezaji mzuri, ewe Kagere ni mchezaji mzuri sema mazingira yamewakataa wanastahiki wakapate tim unyingine ili wafanye makubwa kama hapo awali

Kagere mfumo wa wakufunzi unamtoa katika reli maana yeye si mkabaji sasa kukiwa na msukumo katika mechi yeye anaonekana si msaada
 

Nyie Simba si mmeshatoka au nakosea,naona kama mnacheza mechi ya marudiano hapa Jf. Wenzenu sasa hivi wanawaza nusu fainali
 
wakuu mbona wachezaji wate wazuri sema hapo kuna mapenzi kwa mchezaji yanaweza kuingia, binafsi mi nampenda zaidi nyoni maanani mtu wuhakika sana katika kuzuia na kushikilia mpira hadi kwenda kwa mlengwa aliyemkusudia, pia si mchezaji wa kuwa na shaka nae pindi ashikapo mpira, yani anaweza shika mpira na watu wakaanza kufungua.
Hapo nimeelenzea kulingana na vile anacheza kwahyo ka mie ningekuwa mwalimu lwanga angetokea bench
 

Aika mbee kanyi
 
....WENGINE HATUKUKUONA WAKATI UKICHEZA ENZI HIZO, HIVYO TULIKUA TUNAOMBA MECHI ZAKO ZIRUDIWEE, ZIRUDIWEER.....
 
Basi tufanye Kaizer Chief ilifanikiwa kuifunga Simba alipocheza Nyoni.
Na alipocheza Lwanga ilifungwa na Simba.
Umeridhika sasa.
Tatizo lenu mnawadhaharau sana wachezaji wa ndani.
Hata mchango wa Kennedi Juma hamu uthamini.
Takwimu za mpira zinachukuliwa uwanjani na sio vijiweni.
 
Hoja yako hapo iko wapi?
Tuwakuze wazawa hata wakicheza kawaida?
 
Hao ni watazamaji oya oya.
Hawangalii nani ameisadiaje timu.

Kwa mechi na Kaizer Chief, Nyoni ameisadia timu kumpita Lwanga.

Yaani Nyoni alipocheza timu ilifanikiwa kuliko alivyo cheza Lwanga.

Hao ni mashabiki oya oya. Na hawajui nani kacheza wakati gani.
 
Uzuri ushasema ni mapenzi yako binafsi.
 
We have Sarpong u have Mugalu. Ngoma draw
We have sarpong they have mugalu and they had lokosa,jamaa scouting yao uwa wanasikilizia Yanga wanamtaka nani wamuwahi wao,msimu awapati bahati hiyo tena
 
Umekazana kuita watu oya oya badala ya kutoa hoja....
Unaishia kusema nyoni amesaidia ila husemi ni kipi haswa.
 
Umekazana kuita watu oya oya badala ya kutoa hoja....
Unaishia kusema nyoni amesaidia ila husemi ni kipi haswa.
Weka wazi, alipocheza Lwanga na Nyoni, timu ilishinda wapi.
Na ilifungwa wapi ?
Au huangalii mpira ?
Unaangalia vibajaji
 
We have sarpong they have mugalu and they had lokosa,jamaa scouting yao uwa wanasikilizia Yanga wanamtaka nani wamuwahi wao,msimu awapati bahati hiyo tena
Chama naye wslimsikilizia kwenu?
Kwanini msifanye kimya kimya?
Nyie yanga wenye scouts wazuri mmetuletea nini?
Yikpe
sarpong
Sidney
Biigirimana au yupi ambaye nimemsahau?
 
Lwanga alicheza dakika ngapi, nyoni naye ngapi?
Naomba takwimu zao kwenye hizo dakika.
Weka hizo dakika na magoli kwa kila alipocheza mchezaji husika.
Kumbe unauliza tena na hutaki kuambiwa.
Baki unywe kahawa inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…