Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
kwa mtazamo wangu wa kawaida, mfumo unaotumika ndo unamfanya Mugalu pale simba aendelee kula namba hata ka tutamwona mbaya, falsafa za mkufunzi zinataka mshambuliaji ambaye anaweza fanya kazi zaidi ya moja na mshambuliaji ambaye hana kitete cha miguu.
Mugalu ananikumbusha enzi za mfungaji bora Mavugo katika mchi yake ila alipofika Bongo land mambo yakawa tofauti kabisa na akaonekana kama garasha lisilofaa kwa chochote, pia tujikumbushe kwa wenzetu hapo uingereza kuna wachezaji walichukuliwa wakaingia United wakawa ka maganda ya ndizi japo walisajiliwa kwa hela nyingi sana tena timu mbali mbali zikiwagombea ila mifumo na mazingira mapya yakawakataa kabisa
Mtizamo wangu ni huu, wachezaji hawa wa kigeni wako vizuri sana na ndo maana tukawasajili na mwanzoni walionesha kiasi walivyokuwa japo si ka tulivyowategemea, changamoto ni maziringa na jambo ambalo wengi ambalo huwa hatulionagi (kamati za fitna)
Ewe mugali ni mchezaji mzuri, ewe Kagere ni mchezaji mzuri sema mazingira yamewakataa wanastahiki wakapate tim unyingine ili wafanye makubwa kama hapo awali
Kagere mfumo wa wakufunzi unamtoa katika reli maana yeye si mkabaji sasa kukiwa na msukumo katika mechi yeye anaonekana si msaada