MUGALU: Persona Non Grata

Weka wazi, alipocheza Lwanga na Nyoni, timu ilishinda wapi.
Na ilifungwa wapi ?
Au huangalii mpira ?
Unaangalia vibajaji
Siioni hoja hapa
Naomba kuuliza Nyoni ndiye nyota wa mchezo wa jana?
Au notable contribution yake tofauti na wengine ni ipi?
 
Umekazana kuita watu oya oya badala ya kutoa hoja....
Unaishia kusema nyoni amesaidia ila husemi ni kipi haswa.
Nimesha kuambia, alipo cheza Nyoni timu imefanikiwa kuliko alipocheza Lwanga na Kaizer Chief.
Shida yako ninini.
Kama huamini angalia dakika zao uwanjani na uone nani aliisaidia timu zaidi.
Kama unabisha njoo na takwimu za dakika za Lwanga na Nyoni.
Sio unabishabisha tu.
 
Siioni hoja hapa
Naomba kuuliza Nyoni ndiye nyota wa mchezo wa jana?
Au notable contribution yake tofauti na wengine ni ipi?
Hoja sio nani nyota wa mchezo.
Hoja kuu ni kwamba.
Kati ya Lwanga na Nyoni, nani aliisaidia timu.
Mi nimemtaja Nyoni

Wewe unayebisha njoo na takwimu kwamba Lwanga kacheza dakika kadhaa na timu ilishinda goli kadhaa na alipocheza Nyoni dakika kadhaa timu ilifungwa kadhaa.

Na sio kubisha kwa neno (Hapana tu)
Umefanya utafiti na kuthibitisha hoja yako ya kukanusha.
Lete data tuzione.
 
Aseeee
Ulitaka lwanga aisaidie timu akiwa injury? Kacheza dakika 35 timu haijaruhusu goli lolote wala shambulizi la hatari.
Huku akipokea mashambulizi kutoka team pinzani aliweza kuifanya kiungo cha simba kuwa balanced.
 
Dube anakuja Yanga mkuu. Poleni sana.
 
Weka wazi, alipocheza Lwanga na Nyoni, timu ilishinda wapi.
Na ilifungwa wapi ?
Au huangalii mpira ?
Unaangalia vibajaji
Yaani simba ilifungwa sauzi sababu ya lwanga? Watu wanapita pembeni kwa shomari na mo hussein wanapiga kros watu wanapata free header, wawa yuko wapi, onyango yuko wapi alafu unasema lwanga?
Lwanga ni bora zaidi ya nyoni, tofauti yake ni yuko aggressive zaidi na anaweza igharimu timu kwa kadi ila sishangai, namba yake ndio wako hivyo hata mbele, very combative, wacheki kina vieira, keane, gattusso etc...pia faulo nyingi za lwanga huzicheza mbali kabisa na maeneo ya hatari. Kwenye third ya timu huwa hafanyi faulo za ajabu. Jana nyoni kapoteza pasi kadhaa ambazo kama kaiser wasingekua na presha wangeweza zitumia. Nyoni ni mzuri ila gemu ya jana sio yeye aliyeituliza bali wachezaji wote walitimiza majukumu yao hivyo kaiser kubanwa...
 
Aseeee

Ulitaka lwanga aisaidie timu akiwa injury? Kacheza dakika 35 timu haijaruhusu goli lolote wala shambulizi la hatari.
Huku akipokea mashambulizi kutoka team pinzani aliweza kuifanya kiungo cha simba kuwa balanced.
Kwani Afrika Kusini Lwanga hakucheza ?
Unajua mechi za Simba na Kaizer Chief zimechezwa dakika ngapi ?
Kubisha bila data wazungu wanakuita ignominy au ignoramus.
Bishana na wajinga wenzio.
 
Dakika alizocheza Lwanga Simba imefungwa goli 4:0
Dakika alizocheza Nyoni timu imeshinda goli 3:0
Dakika alizocheza Lwanga kacheza rafu za hatari 4.
Na amezawadiwa kadi ya Njano moja ya pili alipata huruma ya mwamuzi
Na alistahiri kabisa kupewa kadi nyekundu
Nipe data zako.
 
Duuuh huu mpambano mkali sana asee
 
Very stupid analysis...
 
Sijui kwa nini Mo anatumia gharama kubwa kuchukua makocha nje wakati ukipitia maoni ya wanasimba humu unatengeneza benchi la ufundi bora kuwahi kutokea africa na duniani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…