Yaani simba ilifungwa sauzi sababu ya lwanga? Watu wanapita pembeni kwa shomari na mo hussein wanapiga kros watu wanapata free header, wawa yuko wapi, onyango yuko wapi alafu unasema lwanga?
Lwanga ni bora zaidi ya nyoni, tofauti yake ni yuko aggressive zaidi na anaweza igharimu timu kwa kadi ila sishangai, namba yake ndio wako hivyo hata mbele, very combative, wacheki kina vieira, keane, gattusso etc...pia faulo nyingi za lwanga huzicheza mbali kabisa na maeneo ya hatari. Kwenye third ya timu huwa hafanyi faulo za ajabu. Jana nyoni kapoteza pasi kadhaa ambazo kama kaiser wasingekua na presha wangeweza zitumia. Nyoni ni mzuri ila gemu ya jana sio yeye aliyeituliza bali wachezaji wote walitimiza majukumu yao hivyo kaiser kubanwa...