Wewe umeongea.
Huyu jamaa hata alicho kiandika hakijui watu kama hawa wamejaa kwenye club kazi yao kupanikisha watu kwenye club.
Nyie ndio wale mashabiki mkifungwa mnakimbilia kamera kocha hamumtaki,ukiambiwa kocha ana mapungufu gani kimya.
Nyie ndio wale waandishi wa habari waliochanwa na Nabi baada ya kumfunga TP Mazembe,kuna mashabiki mpaka wachambuzi wakasema Nabi hawezi fanya vizuri kimataifa.
Haya kocha wenu Benchka huyo hapo kama viongozi wakiwa na akili kama zako,yule kocha hata valentine day hafiki.
Kocha ndio kwanza ana miezi miwili, kaikuta club,kutengeneza club kutoka na falsafa yake na resources zilizokiwepo mpaka sasa,ukitizama kafanikiwa.Kuna sehemu chache tu kama club wakimsupport kupata wachezaji wawili tu (Winga,Striker na namba sita).Unaona kabisa Yanga watakuwa wakali.