Muguel Gamond hana mbinu za kuivusha Yanga

Namkubali Gamondi, aende na falsafa yake hiyo hiyo. Boli linapigwa na timu itapata matokeo tu. Tusimlazimishe kocha atumie falsafa asiyoiamini. Hayo mambo yalimsumbua Robert mwisho kaonekana sio kocha. Kibabage alikosea nini mbona alikuwa anashambulia na kuzuia vizuri tu, tena kwa pasi za 1 vs 1.
 
Mashabiki mandazi hao
 
Wakupe wewe timu uivushe maana unaweza kuliko gamond!
 
Kapimwe Malaria kabla haija panda kichwani
 
Mmeanza ...
 
sasa rafiki farid mussa aliumia anauguzia majeraha
 
Mimi kwa mpira wanaocheza Yanga kwa sasa wala simlaumu kocha pira linachezwa kila mtu anaona boli linatembea bado unamlaumu kocha? Tatizo la Yanga kila mtu analijua hatuna washambuliaji wa maana Mzinze na Musonda kiwango Chao bado lakini tuna Imani kwenye dirisha dogo uongozi mapungufu hayo watayafanyia kazi
 
Mhn! We mwana Yanga kweli? Nashangaa na wakati kuna mafanikio makubwa sana kwenye klabu yenu ya 5-1
 
Tatizo la Yanga ni mshambuliaji wa kati, kiungo mkabaji wa kusaidiana na Aucho na winger. Yanga wakisajili wachezaji wazuri kwenye hizo nafasi watatinga nusu fainali
 
Gamondi hajapata washambuliaji wanaoendana na falsafa zake. Magoli wanapata mawinga na mabeki. Kuna haja pale mbele apatikane mshambuliaji aggressive kama enzi za phiri au mayele. Huku kwingine kote gamondi hana shida na atafika mbali
 
Kocha hawezi kubadili mbinu na anawchezaji ambao kiasili ni wapiga pasi na wana nga'aa team iki possess ,wanavyocheza nyumbani na ugenini ni sawa sawa.Watajifunza Kwa vitendo namna ya kutofautisha club bingwa na shirikisho .
 
Kocha hawezi kubadili mbinu na anawchezaji ambao kiasili ni wapiga pasi na wana nga'aa team iki possess ,wanavyocheza nyumbani na ugenini ni sawa sawa.Watajifunza Kwa vitendo namna ya kutofautisha club bingwa na shirikisho .
Mpaka hizi mechi sita ziishe Yanga atakuwa ameimprove ssna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…