Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Kumbe shetani ni muislamu?
 

Hiyo ni tafsiri .

Kwa Kiarabu ni Ω±Ω„Ω„ΩŽΩ‘Ω°Ω‡.

Na kwenye Screen shot zote hizo sijaona hilo neno.

Ω±Ω„Ω„ΩŽΩ‘Ω°Ω‡ - allah

hapo walikusudia ni mwenyezi Mungu.
Ambalo liko neno la nne kutoka kushoto kwenda kulia. Kwenye mstar wa pili kutoka juu.

Ψ§Ω„Ω„Ω‡ - mwenyez Mungu
 
Makobaz ni viumbe gani?
 
Amakweli Allah ni punguani.
 
Tafuta historia vzur.
Hakuna jini mbinguni.
Hayo majini yaliuza hati miliki ya mamlaka yakatolewa.
Sasa mkuu hii mada haipo upande wa biblia ipo according to Qur’an kwa hiyo hoja zako ziwe kwa mujibu wa Qur’an
 
Nikuonyeshe?
Angalia kwa makini kila neno usipoliona niambie
 
mungu wenu na shetani ni mmoja. Ila wangu ni wa tofauti na wenu. Mimi simwamini allah na ni najisi kwangu simtambui kama Mungu. huyo ni Ibilisi

Allah siyo Mungu Muumba. Ndiyo maana ni dhaifu. Hutegemea binadamu kumtetea. Ndiyo maana wakimkashifu Allah, wanaomuamini. Huua ili kumtetea.
 
Sasa mkuu hii mada haipo upande wa biblia ipo according to Qur’an kwa hiyo hoja zako ziwe kwa mujibu wa Qur’an
okay samahani mana nikisema mbingu kila mtu ana mbingu yake anayo ijua.
 
Eeh watu mnafukua kweli yaani huku polepole anafukua ccm huku chizi maharifa anafukua .
 
Katika sura ya Majini
Majini yanasema yalikuwa yakiishi Mbinguni na kusikiliza:

Lakini kwa sasa yakitaka kupanda mbinguni na kusikiliza yanafukuzwa na vimondo:

Kwa mujibu wa Qurani Majini yalianza kuishi Mbinguni halafu yakafukuzwa kwa kumkosea Mungu wao:

Mwisho wa siku Majini yakasilimu na kuwa maislamu

Na yalisilimishwa na Mtume wao Mhamadi:
Yamemkaidi Allah na kufukuzwa Mbinguni na Allah:

Nilitegeme yangetubu kwanza kwa Allah na yakasehewa na Allah mwenyewe ayaruhusu kumwabudu tena:

Je Nani alimruhusu Muhamadi kuyasilimisha Majini bila ruhusa ya Allah ?
 
Hao majini walioamini si ndiyo hawa wa jamiiforum? Hapa jukwaani kuna kila Aina ya majini huwa nikisoma comment zao unaona kabisa hawa ni zaidi ya mapepo
 
Makiristo yanapaswa kujua tafauti ya Jinn na Sheitwan Ibilis
 
Makiristo yanapaswa kujua tafauti ya Jinn na Sheitwan Ibilis
Jini ni roho chafu au mapepo haiwezezekani Kwa binadamu kuwa dini moja na jini hii ni zaidi ya uchawi kabisaa.
Unaabudu pamoja na majini ? Ndiyo maana masheikh wengi ni waganga wa kienyeji kutokana na kuwa pamoja nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…