Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Muulize kama kuna majini mema mbona hatusomi popote mungu akiwatumia majini kama wajumbe wake kwa wanadamu yaani kuwatuma majini kuleta habari njema tunaona mungu akitumia malaika tu ...tukisema muhammad alitokewa na jini mapangoni mbona wanakanusha kuwa siyo jini ni malaika kwanini wasiseme ni jini mchamungu ndiyo kamtokea muhammad
Dah
Nasubiri Jibu la hili swali
 
Hii hoja hawawezi jibu masheikh wangu. Nimeuliza wawili.
 
Tuachane na hao majini wanaotetewa kwa nguvu zote kuwa ni wachamungu au sijui ni wema:

Hivi Dini ya Kiislamu inasemaje kuhusu majini waovu?
Je wanaruhusiwa mda wowote kwenda msikitini kutubu na kusilimu kama wenzao wa wakati wa mtume?
Kama wanaruhusiwa nani anawasilimisha?
Ni Imamu au Shehe wakibinadamu au
wa kijini?
 
Yohana 6:70
Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?

Wagalatia mmedanganywa sana

Vipi kama mngeona andiko kama hili katika vitabu vya Hadith za mtume?

Yani mtume Muhammad anasema nimekuchagueni nyinyi maswahaba / wanafunzi wangu na Mmoja wenu ni shetani

Ni vyema mseme Ili tukufundisheni Maneno ya Mungu

Maana nyinyi wagalatia hata
Mungu alikuumbeni hamumjui

Hamuna Nabii maana Paulo sio Nabii wa Mungu

Hamuna kitabu maana Warumi, Tito sijui wakolintho sio vitabu vya Mungu ila barua za watu

Hamuna dini maana ukristo sio dini
 
Baba yetu waislamu ni ibilisi
 
Shetani wote ni wakristo huwa mmojammoja husilimu na akawa jini, kuna mashetani watu ambao ni wakristo na shetani kiumbe kisichoonekana ovyo ni wa kristo
shetani na watoto wake majini ni waislamu,walisilimishwa na mtume wenu.hawawezi kusogelea pale jina la YESU linapotajwa.Msimpige mawe ndugu yenu.
 
Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:

“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”

Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Kumbe shetani anaswali?!
 
Nani aliyembaka shetani? Baadae akamsilimisha?
 
Shetani ni muislamu
 
Ujumbe aliopewa Mtume ulikuwa kwa Wanadamu na Majini na Mashetani.

katika Qurani na Hadithi za Mtume mtume kuna dalili zilizo wazi zinazoyakinisha kuwa Mtume alikuwa akikutana nao na kuwafundisha dini.

Na hata wakati mwingine Majini walikuwa wakitoa majibu mazuri zaidi kuliko Binadamu kwenye masuala ya dini.

Na mfano ni wakati waliposomewa Suratir Rahmaan. Hadithi iliyopokelewa na Jaabir bin Abdallah R.A.A. na iliyotolewa na Ttirmidhi kasema,
“Wakati ambapo Mtume S.A.W. alipowasomea Majini Suratir Rahmaan, “
لَقَدْ قَرَأْتُهَا ‘‘يعني سُورَةَ الرَّحْمَنِ’’ عَلَى الْجِنِّ …، فَكَانُوا أَحْسَنَ مَرْدُودًا مِنْكُمْ ، كُنْتُ كُلَّمَا أَتَيْتُ عَلَى قَوْلِهِ ]فَبِأَيِّ آلاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ[ قَالُوا: لا بِشَيْءٍ مِنْ نِعَمِكَ رَبَّنَا نُكَذِّبُ ، فَلَكَ الحمد
Maana yake, “Hakika nimewasomea Majini (yaani Suratir Rahmaan)…wamejibu vizuri zaidi kuliko nyinyi. Kila nilipofikia kauli Yake (Mwenyezi Mungu S.W.T.) “Fabiayyi A-alaai Rabikumaa Tukadhibaan.) Maana yake, “Basi ipi katika neema za Mola wenu ambayo mnayoikanusha kuwa si kweli?” (Basi Majini) walijibu “Laa bishaay Min Niamika Rabbana Nukadhibu, Falakal Hamdu.” Maana yake,
“Hakuna neema yoyote katika neema Zako Mola wetu tunayoikadhibisha, bali tunashukuru.” Na Mtume S.A.W. alipowasomea Wanadamu hawakujibu chochote, akawaambia, “Ndugu zenu wa Ki-Jini wamejibu jawabu nzuri waliposikia haya.”

Majini wanaujua Uislam kuliko Wanadamu.
 
Back
Top Bottom