Majinn ni viumbe vya mwenyezi mungu, na wapo wali wazuri na pia wapo waasi au majinn mabayaJini ni roho chafu au mapepo haiwezezekani Kwa binadamu kuwa dini moja na jini hii ni zaidi ya uchawi kabisaa.
Unaabudu pamoja na majini ? Ndiyo maana masheikh wengi ni waganga wa kienyeji kutokana na kuwa pamoja nao
Mbona hata Yesu wanafunzi wake wengine walikuwa mashetaniKitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:
“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”
Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Mbona hata Yesu wanafunzi wake wengine walikuwa mashetani
Mathayo 16:23
Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.
Yohana 6:70
Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
Majinn ni viumbe vya mwenyezi mungu, na wapo wali wazuri na pia wapo waasi au majinn mabaya
Yesu alipochagua wanafunzi wake mmoja alimchagua shetani na sio kama hakujuaNa akamkemea aache ushetani. Maana aliwaza kama awezavyo Shetani. KUWA YESU HAKUFA AU HATOKUFA. ANAYEWAZA HIVYO AU ANAYESEMA HIVYO NI SHETANI. WEWE UNAAMINI YESU ALIKUFA?
Yesu alipochagua wanafunzi wake mmoja alimchagua shetani na sio kama hakujua
Yohana 6:70
Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
Nahisi hili lipo nje ya uwezo wa wengi kulielewa kama nilivyo mimi au huwa wanaelewa tu bora liende.Ibilisi yupo kwenye KUNDI LA MAJINI.
alipoasi akageuka kuwa shetani.
Kwa hyo katika MAJINI KUNA MAKUNDI YA MASHETANI MAWILI.mashetani wema na MASHETANI wabaya.
Kupitia huu uzi nimepata clue kwamba kwanini huwa waamini wanapata taharuki ya juu sana hata kwa mambo ya kawaida tu linapokuja suala la dini.Ukiudhihaki ukristo au Mungu wao au Yesu wao hadharani wakristo wanakudharau na kukuona kama kichaa flani hivi na wanakuacha tu:
Ole wako umkashifu Muhamadi au Allah au Qurani yaani Satanic verses:
Watakuchinja hadharani huku wakimwimbia Shetani Allah Akbar:
Hivi ni Mungu gani anafurahia kuchinjwa kwa watu wake aliyewaumba kwa gharama kubwa sana ?
Shetani Allah hana cha kupoteza, ukimchinja mtu na kulisifia jina lake yeye ndio furaha yake:
Nilitaka tu ujue kuwa katika wanafunzi wa Yesu pia kulikuwa na mashetaniShetani alikuwepo kutimiza lile ambalo alipangiwa na hukumu yake aliipata. Je mimi sikununua haya maembe 10 na mojawapo ni bovu? Alama ya kiulizo maana yake nini? Alinunua na akaja jua kuwa moja ni bovu na ndo maana alimwambia huko mbeleni fanya lile ambalo ulipanga kulifanya maana alishajua kuwa walikuwa wanaishi na nyoka katikati yao.
Nilitaka tu ujue kuwa katika wanafunzi wa Yesu pia kulikuwa na mashetani
Hayo mengine hayanihusu
Mathayo 16:23
Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.
Yohana 6:70
Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
"Nilimuona Mtume ﷺ akimeza ulimi au midomo ya Al-Hasan bin Ali, na hakuna ulimi wala midomo aliyokimeza Mtume ﷺ itakayoteseka na moto wa Jahannam."
"Mtume ﷺ alitoa ulimi wake kwa Hasan na Husayn, na walikuwa wanalia kwa kiu, kisha walitulia."
"Mtume ﷺ alifungua mdomo wake na kuweka mdomo wake kwenye mdomo wa Hasan."
Shetani ni baba yao majini.Umeelewa mada au umelewa?? Unaambiwa waliokiri ni Majinn wewe unatutajia Shetani, hujui hata tafauti
Ibilisi yupo kwenye KUNDI LA MAJINI.
alipoasi akageuka kuwa shetani.
Kwa hyo katika MAJINI KUNA MAKUNDI YA MASHETANI MAWILI.mashetani wema na MASHETANI wabaya.
Kwanini siyo mwisilam wakati alisilimuSio Muislamu
Wewe kama muumini unaweza ukathibitisha uwepo wao hao majini?umewahi kuwaona?Majini Waislam wapo ila Mashetani sio waislamu neno shatani ni kama kusema muovu ila jini ni kiumbe
Katika hizo riwaya ulizo hadithiwa hata siku Moja haujawahi kukutana na riwaya inayoelezea mambo mazuri ya mtume?Riwaya kutoka Musnad Ahmad (Hadith No. 16245)
Katika Musnad Ahmad, kuna riwaya inayosema:
2. Riwaya kutoka al-Mu’jam al-Kabir (Hadith No. 2588)
Katika al-Mu’jam al-Kabir, kuna riwaya inayosema:
Hadithi hii imedaiwa kuwa na daraja ya "Hasan" (nzuri) na imepokelewa na wanazuoni kama al-Haythami na ash-Shawkani.
3. Riwaya kutoka al-Adab al-Mufrad (Hadith No. 1183)
Katika al-Adab al-Mufrad, kuna riwaya inayosema:
Kwahiyo shetani ni muislamu?!Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:
“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”
Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
AiseeeInavyosemekana Kabla adamu hajaumbwa majini walishaumbwa .
Na wakaishi Duniani ila walifanya maovu na uasi Mungu akatuma malaika kwenda kuangamiza hao majini .katika kuangamiza alikuwepo mtoto wa jini ambapo malaika walimuonea huruma na kumuomba Mungu wachukue wakaishi nae mbinguni.mungu mwanzo aliwakatalia ila walimuomba sana akawaambia Mimi najua msichokijua.ni kisa kirefu kidogo