Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Da!!!!,lakini pamoja na ubaya wa shetani,lakini sijawahi ona sehemu yoyoe imeandikwa shetani alikuwa anapiga pombe,wala hakuwa m2 wa mademu,wala hakuwai kulawiti wala kulawitiwa,,,kwa mujibu wa QURQN tukufu,,,,laana ya shetani ilitokana na kukataa kusujudia sanamu la nabii ADAM!!,,,na shetani alimlalamikia MUNGU kwamba,hakika,,,hawa binadamu watakuja kuchafua dunia na watakukera sana na kweli tunamkera sana MUNGU!! usije kushangaa sisi BINADAMU ndio MASHETANI na SHETANI ndio BINADAMU<<<<<,,,,,,,,,,leo hii kuna ROBOTI huko china lnabeba mimba!!! lakini ata ukiangalia maendelio tuliyo nayo,,ukifikiri kwa kina sisi NDIO MASHETANI WENYEWE!!!,,,,,,,,,2natengeneza MAKOMBORA ambayo ata majini hawana speed ya hayo makombora!!
 
Pakada shetani ataswali vipi na wewe? 😃
Biblia imekushinda utaiweza Qur’an 😃
Sasa si nae ni Muslim na kasilimishwa na Mtume mwenyewe kwanini asiswali au mnambagua kama Arabs wanavowatenga miskitini?
 
Kwahiyo kwa kifupi shetani ni mvaa vipedo na kobazi? Sasa naelewa kwanini wale wenye hao jamaa huwa hawapatani na "chair fire"
 
Wewe mzee utakufa kifo kibaya sana. Kama usipotubia na kumuomba Mungu msamaha kwa makosa yako ya kumtukana Mtume Muhammad SAW kila wakati, na kumtukana Mwenyezi Mungu humu jamvini, basi jiandae mauti mabaya. Wewe una laana na usipoangalia unaweza kuambukiza laana hiyo kwa kizazi chako
 
Chizi Maarifa . Dogo kumbe bado upo.!
hii kesi uliyonunua utaiweza?
 
Katika hizo riwaya ulizo hadithiwa hata siku Moja haujawahi kukutana na riwaya inayoelezea mambo mazuri ya mtume?
Yapo. Ambayo hata mimi nayapenda.
1. Kuoa katoto ka miaka 6 ni kabichi kabisa
2. Kuwa na varities ya mademu
3. Alikuwa mpambanaji na mpiganaji aliyeweza ongoza uvamizi na kuteka mali.
4. Nadhani pia alikufa tajiri
5. Alikuwa mwongeaji na mshawishi mzuri sana.
 

Shetani na hayo majini ndo yanawafanya watu wasiwe na utu
 
Hii dini ndio inaongoza kwa hadith za abunuasi dunian...eti shetani asilimishwa😂
 
Kila SHETANI NI JINI.
ILA SIO KILA JINI NI SHETANI.
Sijui umeelewa tofauti yake .
Yaani ni kama mfano Katika sisi binadamu tupo wema na pia tupo WABAYA
 
Kwahiyo shetani ni muislamu?!
Kwanza fanyeni juhudi mumjue Mungu aliyekuumbeni mkisha mjua Mungu wa kweli ndio mtajua sifa zake na viumbe wake

Aliwaumba Malaika Kwa Nuru
Aliwaumba majini Kwa moto
Aliwaumba binadamu Kwa udongo

Malaika wamepawa akili lakini hawajaoewa matamanio

Binadamu na majini wamepewa akili na matamanio

Binadamu na majini wameumbwa Kwa ajili ya kumuabudu Mungu

Binadamu na majini watakao muasi Mungu wataenda Jahanamu

Shetani ni sifa ya uasi Kuna mashetani katika binadamu na mashetani katika majini

Haya mambo nyinyi wagalatia hamuwezi kuyajua maana dini yenu yenyewe watu waliiyanzisha Kwa ujanja ujanja tu
 
Hivi unajua kwa nini alikataa.
Shetani ameumbwa tofauti amepambwa na vito vingi vya thamani.

Ameishi na muumbaji karibu kuliko binadam ndy maana Alishindwa. Ila kimamlaka tumepewa sisi.
Vito gani wewe wakati aliumbwa Kwa moto tu.hawafikii hata malaika waliumbwa Kwa NURU
 
Wale malaika waliolala na wanadamu ... Sio matamanio Yale Mimi najua MUNGU
 
Malaika waliumbwa Kwa NURU.
Ibilisi jamii ya majini aliumbwa Kwa MOTO.
Haya niambie ibilisi anakuwaje malaika😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…