Kwanza inaonesha hujui, Jews limetokana na kabila la Yuda na Benjamini baada ya makabila 10 kupoteaNajua haujui . uyahudi ni Jina liliotokana na mtoto wa 4 wa nabii yakobo aliyeitwa YUDA AU YEHUDA.sasa kile kizazi chake ndo kikaja kujiita wayahudi. Yaani watoto wa yuda wakaanzisha na dini yao wakaiita judaism.ndo maana mtume musa hakuwa MYAHUDI.una swali?
Sikila siku tunawafubdisha haya nyie waislamu ambao hamjui hata manabii wote ni waisrael ,Na ndio maana sio Kila muisrael ni myahudi.
Wayahudi ni Moja ya makabila 12 ambayo yametokana na watoto wa yakobo ambaye anaitwa ISRAEL.upo?
Kwanza inaonesha hujui, Jews limetokana na kabila la Yuda na Benjamini baada ya makabila 10 kupotea
Halafu Musa ni myahudi kama hujui wa kabila la Lawi
Kama unabisha njoo hapa nipe nasaba ya Musa
Israel ni Jina la nabii yakobo.kama manabii wote ni waisrael Ibrahim na isihaka ya Ismael ni dini gani ikiwa walikuwepo kabla ya yakobo?Sikila siku tunawafubdisha haya nyie waislamu ambao hamjui hata manabii wote ni waisrael ,
Unaweza kunitajia maana ya neno Israel ?
Unaweza kutaja watoto 12 wa Yakobo ?
Maana ya "Israeli" ni "Yeye ambaye ameshindana na Mungu" au "Mshindani wa Mungu", kulingana na simulizi la Biblia.Sikila siku tunawafubdisha haya nyie waislamu ambao hamjui hata manabii wote ni waisrael ,
Unaweza kunitajia maana ya neno Israel ?
Unaweza kutaja watoto 12 wa Yakobo ?
Mwanzo 32:28
"Jina lako hutaitwa tena Yakobo, bali Israeli; maana umeshindana na Mungu na watu, nawe umeshinda."
Ni ndugu zako wewe sina udugu na majini. Wao waliupenda uislamuHata wewe ni ndugu zako .
Sawa hyo hyo sifa ya Mungu katika BIBLIA ya kiarabu imeandikwa vipi?
Au Hilo YAHWEH.nioneshe katika biblia ya kiarabu
Mungu ni mmoja tofauti ni LUGHA .
KIEBRANIA - Yahweh
Kiswahili Mungu,kizungu GOD ,kiarabu ALLAH?
Nimekwambia weka aya ya BIBLIA ya kiarabu Mungu ameitajwe umekimbiaMungu si mmoja. Mungu wa Kiislamu tofauti na wa Kikristo
Nimekimbia wapi? Au huoni nikijibu? Mimi sina Biblia ya Kiarabu. But nina uhakika wa Asilimia 100 Mungu wa Kikristo na Kiislamu ni Miungu wawili tofauti kabisa. Hawafanani na hawawezi ishi pamoja.Nimekwambia weka aya ya BIBLIA ya kiarabu Mungu ameitajwe umekimbia
basi ndo maana hauelewi.hilo Yahweh ni kiebrania na Allah kiarabu maana yake ni Moja MUNGU.Nimekimbia wapi? Au huoni nikijibu? Mimi sina Biblia ya Kiarabu. But nina uhakika wa Asilimia 100 Mungu wa Kikristo na Kiislamu ni Miungu wawili tofauti kabisa. Hawafanani na hawawezi ishi pamoja.
basi ndo maana hauelewi.hilo Yahweh ni kiebrania na Allah kiarabu maana yake ni Moja MUNGU.
Kama hauamini nenda kamuulize kiongozi yeyote wa dini yako unayemuamini
Kwa hiyo kwa mujibu wa hicho kitabu Shetani ni Muislamu? Ninuavyo mtu akislimu maana yake anatoka imani nyingine kuwa Muislamu.Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:
“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”
Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Kwa hiyo kwa mujibu wa hicho kitabu Shetani ni Muislamu? Ninuavyo mtu akislimu maana yake anatoka imani nyingine kuwa Muislamu.
Vv
Hayaaa.Sina ninayemuamini najiamini mimi. Wewe amekuambia kiongozi wako unayemuamini? Mungu si Jina. Mungu ni sifa.
Umeenda kubeba kwenye CHATGPT ikakupeleka kwenye biblia 😂Maana ya "Israeli" ni "Yeye ambaye ameshindana na Mungu" au "Mshindani wa Mungu", kulingana na simulizi la Biblia.
---
1. Chanzo cha jina:
Jina Israeli alipewa Yakobo baada ya kushindana na malaika (au mtu wa kiungu) usiku kucha:
---
2. Maana ya neno:
Hivyo: "Isra-el" = Yeye aliyeshindana na Mungu.
- "Isra" = anashindana / anapigana
- "El" = Mungu
---
3. Umuhimu wa jina:
- Baada ya hapo, Yakobo akawa baba wa taifa la Israeli.
- Watoto wake 12 wakawa makabila 12 ya Israeli.
---
Kwa muktadha wa Qur'an:
- Qur'an pia inamtaja Yakobo kama Isra'il (Surat Maryam 19:58; Al-Baqarah 2:40), na "Bani Israil" = Wana wa Israeli.
Ungependa kujua pia kwa nini jina hili linabeba umuhimu wa kiimani hadi leo?
Haya majina umeyatoa wapi ndani ya Quran ?Lea alizaa Reubeni, Simeoni, Levi na Yuda. Raheli alipoona kwamba hakuzaa watoto, alihuzunika. Basi akampa Yakobo Bilha, mtumishi wake naye Bilha akazaa wana wawili walioitwa Dani na Naftali. Kisha Lea pia akampa Yakobo Zilpa mtumishi wake, naye Zilpa akazaa Gadi na Asheri. Mwishowe Lea akazaa wana wengine wawili, Isakari na Zebuloni.
Wewe jamaa acha uongo.wayahudi walitokana na yuda.
Na Musa alitokana na kabila la LAWI.
Acha kupototosha watu
Yaani hata biblia pia haujui?Haya majina umeyatoa wapi ndani ya Quran ?
Twende taratibu tu utajua
Si ulitaka maana au ulitaka kujua wapi nilipotoa?Umeenda kubeba kwenye CHATGPT ikakupeleka kwenye biblia 😂
Kwahiyo Leo unaiamini biblia
Mungu si mmoja. Mungu wa Kiislamu tofauti na wa Kikristo
Nioneshe wapi Musa alikuwa myahudi ikiwa hakutokana na YUDA.bali LAWIHaya majina umeyatoa wapi ndani ya Quran ?
Twende taratibu tu utajua