Shida ni elimu ,na haya mambo huwezi kuyapata kwenye QuranNioneshe wapi Musa alikuwa myahudi ikiwa hakutokana na YUDA.bali LAWI
Nimeuliza maana umesema aliyeshindana na Mungu akashinda ,Si ulitaka maana au ulitaka kujua wapi nilipotoa?
Wewe sihuwa unapinga biblia hapa ,ndio maana nimekuuliza nilitegemea unipe kwa Quran ambayo mnasema Ina kila kituYaani hata biblia pia haujui?
Ndiyo ALLAH wa waislamu wote anaye waongoza ...kama asemavyo mudi boy kuwa SHETANI ANAWAONGOZA KWENYE HERI.Kwahiyo shetani ni mwisilam?
Huyo wa kiislamu amebuniwa juzi, miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, kabla huyo Allah wa muarabu kulikua na Baal wa wafilisiti na wote wamejaribi kufuta Wayahudi kwenye uso wa dunia wakashindwa.
Hyo TAFSRI hata ukiingia Google unapata.kwa hyo ulitaka Quran iandike kama kamusi?Wewe sihuwa unapinga biblia hapa ,ndio maana nimekuuliza nilitegemea unipe kwa Quran ambayo mnasema Ina kila kitu
Nashangaa unaniletea kwa mujibu wa bibliaππ
Au Quran Leo Haina kila kitu?
Hivi Quran unadhani unaweza kuandika maandiko kama hayo?Nimeuliza maana umesema aliyeshindana na Mungu akashinda ,
Umetoa kwenye biblia ,nauliza Quran Haina ? Je Leo unaikubali biblia?
π€£π€£π€£.hakuna kitu kama hicho.kuanzia mtoto wa kwanza wa yakobo mpaka wa 12 wote walikuwa na watoto wao.na hawakuhusiana Kwa lolote.watoto wa yuda ndo wakaanzisha dini yao ya judaism.walawi ni tofauti kabisa na wayahudi japo nao ni waisrael.ili uwe myahudi unapaswa utoke kwenye kabila ya yuda.nini weweee .Shida ni elimu ,na haya mambo huwezi kuyapata kwenye Quran
Kihistoria, jina Myahudi (Jew) lilitokana na kabila la Yuda (Judah).
Lakini kadri muda ulivyopita, majina kama Wayahudi yalitumika kwa jumla kumaanisha wazao wote wa Israeli, si Yuda peke yake (hata waliokuwa kutoka makabila mengine).
Mfano, hata Malkia Ester aliitwa Myahudi (Ester 2:5), lakini alikuwa kutoka kabila la Benyamini, si Yuda.
Umetoa vigezo vipi kujua kuwa Ibilis alisilimuAdam ni nyama na amepewa mamlaka ya kiungu.
Huyo ni moto na hajapewa hayo mamlaka yoyote.
Tunatazama historia ya huko nyuma na kwanini alifanya uasi.
Ila tuishie hapa mana kasha silimu basi mkumbusheni swala 5 asisahau.
Quran inasema wapi hayo ?π€£π€£π€£.hakuna kitu kama hicho.kuanzia mtoto wa kwanza wa yakobo mpaka wa 12 wote walikuwa na watoto wao.na hawakuhusiana Kwa lolote.watoto wa yuda ndo wakaanzisha dini yao ya judaism.walawi ni tofauti kabisa na wayahudi japo nao ni waisrael.ili uwe myahudi unapaswa utoke kwenye kabila ya yuda.nini weweee .
Google inatoa wapi ?Hyo TAFSRI hata ukiingia Google unapata.kwa hyo ulitaka Quran iandike kama kamusi?
Aliyefanya wayahudi kuwa wawakilishi wa waisrael wote ni nani?Quran inasema wapi hayo ?
Mimi nakupa ushahidi wa biblia ,wewe njoo na WA Quran
kumbuka jina Myahudi (Jew) lilianza kutoka Yuda, lakini baadaye liliwakilisha Waisraeli wote waliokuwa Babeli. Ndiyo maana hata Mordekai wa kabila la Benyamini aliitwa Myahudi (Ester 2:5). Kwa hiyo Musa akiwa Mwalawi bado ni Myahudi, kwa sababu wote wa Israeli walijulikana hivyo. Judaism si dini ya Yuda peke yao, bali ni ya Israeli wote.β
Kwani google haina biblia?π³π³π³Google inatoa wapi ?
Maana ya Israel inatolewa na Biblia maana hilo jina ni la kihebrania
Ndio maana nakuuliza wewe muislamu unatoa wapi ?
Biblia unaikubali toka lini?
Safi, kama maana sio hiyo ,maana ya Israel ni nini na useme kwanini maana ni hiyoHivi Quran unadhani unaweza kuandika maandiko kama hayo?
Hivi huyo Mungu aliyepigana na yakobo ni YAHWEH?
YAANI Mungu anapigana na kiumbe wake na Mungu anashindwa huyo Ni Mungu kweli?
Sawa nimetoa kwenye biblia.haya niambie Mungu gani aliyepigana na yakobo akapigwa?Safi, kama maana sio hiyo ,maana ya Israel ni nini na useme kwanini maana ni hiyo
Twende kazi,
Sisi biblia Ina toa na maelezo ya hilo jina
Sasa wewe umesema maana yake ni aliyepigana na Mungu ,je umeitoa wapi na unakubaliana na hiyo maana ?ππ
Aliyefanya jina Myahudi liwakilishe Israeli wote ni historia yenyewe. Baada ya kugawanyika, kubaki kwa Yuda na kisha uhamisho wa Babeli, jina la taifa lote likachukuliwa kama Wayahudi.Aliyefanya wayahudi kuwa wawakilishi wa waisrael wote ni nani?
Kwahiyo nyie waislamu mliiba jina ISRAEL bila kujua maana na muktadha wake ?Sawa nimetoa kwenye biblia.haya niambie Mungu gani aliyepigana na yakobo akapigwa?
Usikimbilie mbele ,hapa hapaKwani google haina biblia?π³π³π³
Sawa niambie Mungu gani aliyepigana na yakobo akapigwa?
Kwahiyo nyie waislamu na Quran mnatajaga Israel kwenye dini yenu kama kasuku hamjui maana yake ?ππKwani google haina biblia?π³π³π³
Sawa niambie Mungu gani aliyepigana na yakobo akapigwa?
Sawaa.ni Mungu yupi aliyepigana na yakobo akapigwa?Kwahiyo nyie waislamu na Quran mnatajaga Israel kwenye dini yenu kama kasuku hamjui maana yake ?ππ
Ujue hata maana ya Zaburi hamjui ,injili pia hamjui
Ninaposemaga Quran na Uislamu ni michezo ya watu , uislamu ni dini mpya iliyoundwa kwa kuiba kwa wayahudi na wakristo pia wasabai Huwa namaanisha
Israel ni nabii yakobo wana Israel ni watoto yakobo.maana ya Israel ni aliyepigana na Mungu akashinda.sasa niambie ni Mungu yupi aliyepigana na yakobo akapigwa?Usikimbilie mbele ,hapa hapa
Quran inapotaja Israel au Wana wa Israel haijui maana yake ?
Kama inajua maana yake ni nini ?