mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
sasa mbona huyo mwenzio anawajumlisha waisrael wote kuwa ni wayahudi?Ni kweli wayahudi ni Waisraeli walibuni jina hilo kutokana na kiburi cha dini ili kuwabagua wenzao Waisraeli...hivyo UYAHUDI NI JINA OVU MBELE YA MUNGU
Hivi wewe kichwani zimo kweli?Unabadilisha maswali tu,
Jibu ninachokuuliza ,
Neno Zaburi, Israel ,yana maana gani
Unajizungusha ili usijibu swali ninayokuuliza ,NENO ZABURI,NA ISRAEL huko kwenye uislamu yana maana gani au mmeiba kitu msichojua maana yakeWewe.utakuja kuelimika lini?..
Wayahudi huo ni ukoo uliotokana na yuda .
Kama wewe haujatokana na huo ukoo wewe sio myahudi
Ndio maana wana KOO 12.
KAMA WENGINE HAWAJATOKANA NA YUDA UNAWAJUMLISHS VIPI KWENYE UYAHUDI?
Wayahudi awakatai agano lq kale wanakataa injili ....mfano waislamu wote ni waislamu ila kuna waislamu wenye kujitukuza zaidi ya wenzao na kujipa daraja ya WAISLAMU WENYE MSIMAMO MKALI (leo uitwa magaidi) ndivyo ilivyo kwa jina MYAHUDI (awani watu wenye msimamo mkali wa torati zamani zile walibagua hadi Waisraeli wenzao wasio wayahudi ...hivyo uyahudi ni itikadi kali na potovu za TORATIunajua kwanini wayahudi wanalikataa agano la kale na yesu japo ni ndugu yao?
Umebadili gia angani😂😂Hivi wewe kichwani zimo kweli?
Unajibiwa swali unarudia Hayo hayo .unataka maana gani ambazo unataka wewe?.
Nishakujibu zaburi ni kitabu alichopewa mtume daud,Israel ni Jina la nabii yakubu .
Sasa unataka maana gani zaidi ya hapo.ndo maana mwanzo niliekwambia unanichosha tu akili yangu
Sio Mimi ninayewajimlisha ni manabiisasa mbona huyo mwenzio anawajumlisha waisrael wote kuwa ni wayahudi?
Nani amekwambia hapo wamejumuishwa waisrael wote?Unajizungusha ili usijibu swali ninayokuuliza ,NENO ZABURI,NA ISRAEL huko kwenye uislamu yana maana gani au mmeiba kitu msichojua maana yake
Halafu Mimi nakupa maandiko, makabila yote ,awe lawi, Benyamin,Yuda ,waliitwa Wayahudi ,
Nakupa ushahidi ,hapa ni mwaka 538BC baada ya kutoka utumwani Babeli,
Manabii waliwaita wote WAYAHUDI, sasa kama unabisha leta ushahidi
Ushahidi nakupa maandiko
Ezra 4:12
"Na liwe wazi kwa mfalme, ya kwamba Wayahudi waliokwea kwetu, kutoka kwako, wamefika Yerusalemu; wanajenga tena mji huu wa uasi, tena mbaya, na wanakamilisha kuta zake, na kuondoa misingi yake."
Hapa Ezra anawaita wote Wayahudi, hata kama walikuwa wa makabila tofauti, kwa sababu waliokuwa wakirudi walihesabiwa kama taifa moja.
Ezra 5:1
"Ndipo manabii Hagai nabii, na Zekaria mwana wa Ido, wakatabiri kwa Wayahudi waliokuwako katika Yuda na Yerusalemu, kwa jina la Mungu wa Israeli aliyekuwa juu yao."
Ajui ..wayahudi ni Waisraeli ila siyo kila muisrael ni myahudisasa mbona huyo mwenzio anawajumlisha waisrael wote kuwa ni wayahudi?
nilikujibu vile uone uongo wa biblia.Umebadili gia angani😂😂
Israel ni jina ,je Lina maana gani
Zaburi hilo ni neno Lina maana. Gani ,
Sasa zile ulisema maana ya Israel ni Aliyepigana na Mungu akashinda
Ulipona umejipiga kamba ,sasa hivi umebadili gia unasema ni Jina tu, Kuna Jina halina maana ?😂😂😂
Siyo makabila yote zaidi ni YUDA LAWI NA BENJAMINI .....UYAHUDI NI UOVU MBELE YA INJILIAnajua ila anajizima data ,makabila yote ya Wana wa Yakobo wanaitwa pia wayahudi ,baada ya kurudi utumwani babel wote waliitwa hivo
Huyu anakwepa swali maana nimemuuliza ,Neno Israel kwenye uislamu wanajua maana yake au Huwa wanaropoka tu
Neno ZABURI wanajua maana yake au wanaropoka tu
Ebu muelimishe kwanza.Ajui ..wayahudi ni Waisraeli ila siyo kila muisrael ni myahudi
Haya nijibu kwa maana ya Quran iliyokamilika ,maana ulisema umetoka Google 😂😂mara kwa biblianilikujibu vile uone uongo wa biblia.
Binadamu anapiganaje na Mungu?
Uwe unaleta reference Mzee,Siyo makabila yote zaidi ni YUDA LAWI NA BENJAMINI .....UYAHUDI NI UOVU MBELE YA INJILI
Ni kweli: Wayahudi ni Waisraeli, lakini si kila Mwisraeli ni Myahudi.Ajui ..wayahudi ni Waisraeli ila siyo kila muisrael ni myahudi
Wewe unatafuta kichaka ukimbie ninachokuulizaEbu muelimishe kwanza.
Maana Mimi ananichosha tu akili yangu
Tatizo lako wewe unabishana badala ya kutafuta elimu ninachokuambia mimi uwezi kukipata kanisa lolote ....sasa rudi hatua chache nimemuelewezmsha mtu mchanfanuo wake UYAHUDI NI KAMA UGAIDI WA KIDINIUwe unaleta reference Mzee,
Mungu hakuliita jina Uyahudi kuwa ovu kwa asili yake; bali alikemea matendo ya kiburi, unafiki na ubaguzi.
Paulo anasema: “Si Myahudi aliye hivyo kwa nje tu, bali Myahudi ni yeye aliye hivyo kwa ndani, na tohara ni ya moyo” (Warumi 2:28–29).
Hii inamaanisha Mungu huangalia hali ya moyo, si jina la dini.
Ni kweli awali si makabila yote yaliitwa Wayahudi, bali Yuda, Benyamini na Lawii.Siyo makabila yote zaidi ni YUDA LAWI NA BENJAMINI .....UYAHUDI NI UOVU MBELE YA INJILI
Nilichokujibu ni kwamba hauelewi au nini?Haya nijibu kwa maana ya Quran iliyokamilika ,maana ulisema umetoka Google 😂😂mara kwa biblia
Mbona unajizungusha ,nijibu kwa Quran yenu na Hadith ,Neno Israel ,Zaburi ,Injili yana maana gani ,
NIKISEMA Uislamu ni dini ya mchongo iliyoiba huku na kule ,kwa wayahudi, wakristo, wasabai na wapagani nitakuwa NAKOSEA?
una taka kuelimishwa au kubishana?Wewe unatafuta kichaka ukimbie ninachokuuliza
UYAHUDI NI KAMA UGAIDI WA KIDINI ....NI KIBURI CHA DINI NA ITIKADI KALI ZA DININi kweli: Wayahudi ni Waisraeli, lakini si kila Mwisraeli ni Myahudi.
Mfano: Musa alikuwa Mwisraeli wa kabila la Lawii, lakini kihistoria asingeitwa Myahudi.
Hata hivyo, baada ya uhamisho, jina Wayahudi lilianza kujumlisha wote → ndipo jina likawa la jumla.