tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,435
- 4,788
Kumbe shetani ni mwislamu. Aisee. Ndio maana ana tabia mbaya sana.Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:
“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”
Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Kumbe shetani ni mwislamu. Aisee. Ndio maana ana tabia mbaya sana.
YESU KASEMA WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDINENO WOKOVU UNATOKA KWA WAISRAELI AU WAYAHUDI NDIVYO ILIVYO HAKUNA KOSA IKA NENO SAHIHI HAPO NI WOKOVU UNATOKA KWA WAISRAELI (NENO UYAHUDI CHIMBUKO LAKE NI UHASI KWA MUNGU (KIBURI ,MAJIVUNO ,UKAIDI )NK ...hivyo hapo lugha sahihi ni WOKOVU unatoka kwa WAISRAELI siyo wayahudi kwa sababu uyahudi ni itikadi ya kibaguzi baina ya Waisraeli wao kwa wao ...kumbuka biblia imechezewa sana na waandishi ...Ukitumia Logic na akili utajua hakukuwa na sababu kutumika hii sentence 👉WOKOVU UTATOKA KWA WAYAHUDI BADALA YA 👉WOKOVU UTATOKA KWA WAISRAELI
Israel ni Jina la nabii yakobo aliyemtandika mangumi Mungu wenu mpaka akakimbia.mjingamimi umepata upenyo umelala mbele au sio ?
KWA HOJA HIYO TU INATOSHA KUKUONESHA UISLAMU NI DINI YA KUOKOTEZA,
ONA HAMJUI MAANA YA NENO ZABURI, ISRAEL ,INJILI ,N.K
HAMJUI MSINGI WA HAYO MANENO
Maana ya neno ISRAEL ni niniIsrael ni Jina la nabii yakobo aliyemtandika mangumi Mungu wenu mpaka akakimbia.
Utaelimishwa mara ngapi uelewe?YESU KASEMA WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI
WEWE UNASAMA SIO NENO SAHIHI
HIVI KWANINI MNAPENDA UPOTOSHAJI?
KWAHIYO WEWE UNAMZIDI AKILI YESU ALIYESEMA NENO "WAYAHUDI"?
Aliyemtandika mangumi Mungu wenu mpaka akakimbiaMaana ya neno ISRAEL ni nini
Bila kupotosha ukristo haupo
Alie kuwa anawauwa wanafunzi wa yesu na kumiminwa sasa ndio mtume wako lakini hujui alikuwa anamiminwa na wanaume wangapiAlaf kabla ya hayo yote.
Hapa Shetan anaishusha Quran kwa makobaz na majini.
Quran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri."
Kwahiyo NENO ISREL KWA mujibu wa Quran ndio hiyo?Aliyemtandika mangumi Mungu wenu mpaka akakimbia
Ndio aliyemtandika mangumi Mungu wenu mpaka akakimbia.Kwahiyo NENO ISREL KWA mujibu wa Quran ndio hiyo?
Mimi siongei bila ushahidi wa maandiko kama nyieUtaelimishwa mara ngapi uelewe?
Hauwezi kuwa myahudi mpaka uwe uzao wa yuda.
Ndo maana Musa aliyepewa torati ni muisrael lakini si myahudi yeye ametokana na kizazi cha LAWI.
Wayahudi wakaanzisha dini yqo na kupora taurati kufanya kuwa ndo kitabu Chao.
Kwahiyo Israel kwa mujibu wa Quran maana yake hiyo?unaitoa wapi😂Ndio aliyemtandika mangumi Mungu wenu mpaka akakimbia.
Acha porojo ,mwenzako kaweka maandiko wewe unaleta porojo kuharibu mjadalaAlie kuwa anawauwa wanafunzi wa yesu na kumiminwa sasa ndio mtume wako lakini hujui alikuwa anamiminwa na wanaume wangapi
NADHANI SASA MWISHO WA SIKU UMEJUA UISLAMU NI DINI YA MCHONGONdio aliyemtandika mangumi Mungu wenu mpaka akakimbia.
Na nilishakuuliza hivi Kwa akili yako Mungu anaweza akapigana na binadamu?Kwahiyo Israel kwa mujibu wa Quran maana yake hiyo?unaitoa wapi😂
Usijibu kwa hasira ,nataka ujue Quran na uislamu ni DINI YA MCHONGO
Quran haiandiki NGONJERA KAMA BIBLIA.NADHANI SASA MWISHO WA SIKU UMEJUA UISLAMU NI DINI YA MCHONGO
Na Quran ni kitabu kimejaa VITUKO na kimeiba mambo ya watu
Wakristo na Wayahudi wanajua maana ya Zaburi na Israeli, kwa sababu ni sehemu ya maandiko yao ya asili. Waislamu wanayatamka tu, lakini hawajui mizizi yake, maana Qur’an haikuyafafanua maana IMEPORA NA KUIBA
Haya nipe maana ya Neno ISRAEL kwa mujibu wa QuranQuran haiandiki NGONJERA KAMA BIBLIA.
Binadamu anapiganaje na Mungu?
Sawa nimekubali, basi leta maana ya ISRAEL kwa mujibu wa Quran kitabu kisicho na shakaNa nilishakuuliza hivi Kwa akili yako Mungu anaweza akapigana na binadamu?
Hivi Kwa akili yako Quran unaweza kuandika maandiko kwamba maana ya israel ni "ALIYEPIGANA NA MUNGU AKASHINDA"?
EBU TUMIA AKILI KIDOGO
Ewaaa!sasa Quran haijatoa tafsir ya Jina Israel.Sawa nimekubali, basi leta maana ya ISRAEL kwa mujibu wa Quran kitabu kisicho na shaka
Au hilo NENO kwenye Quran lipo tu bila maana yoyote
Au mudy alikuwa anaiba maneno bila kujua misingi yake