Inatakiwa wewe unayeona tafsiri ni potofu, kwakuwa hilo neno ISRAEL lipo kwenye Quran,ni vema ukaleta maana halisiKwa hyo wewe unaona ni sahihi tafsiri ya biblia inayosema ALIYEMPIGA MUNGU AKASHINDA?
Yakobo alimpiga vipi Mungu?Kwahiyo umekiri kwanza uliongopa ?
Ukikubali sasa nitakwambia ujue kwanini tuliuacha uislamu sababu ya UPOTOSHAJI kama huu
Kwanza unakubali Quran Ina maneno kama ISRAEL,ZABURI, N.K na haijui maana na misingi yake?
Sawaaa.niambie Mungu anapigwa vp na kiumbe wake?Inatakiwa wewe unayeona tafsiri ni potofu, kwakuwa hilo neno ISRAEL lipo kwenye Quran,ni vema ukaleta maana halisi
Simple tu
Usikwepe,je unakubali Quran Ina maneno kama ISRAEL ila haijui maana yake na msingi wake ?Hapanaaaaa hakuna marefu Wala mapana.NI TAFSIRI SAHIHI KWAMBA YAKOBO ALIMPIGA MUNGU AKASHINDA NDO MAAANA YA ISRAEL?
Unakimbilia wapi, jibu unachoulizwa au unaona aibu Quran itaaibika?Yakobo alimpiga vipi Mungu?
Kwanini wayahudi siyo waisrael nijibu ...nijibu chimbuko la neno wayahudi ni Mungu au wao wenyewe, kumbuka biblia imeandikwa na kutiwa mikono, neno sahihi ni WOKOVU unatoka kwa WAISRAELI......Yesu mwenyewe aliwaonya watu na mafarisayo na wayahudi akisema wamesimama katika fundisho la Musa hivyo wasikieni ila msitende kama watendavyo wao ....Yesu siku zote alitoa mafundisho yenye kuwa shusha wayahudi kwa sababu walijitukuza kidini...na ndiyo maana hata hekima ya Mungu ili wayahudi wasome shitaka la Yesu iliandikwa MFALME WA WAYAHUDI na wayahudi walichukia sana ilo shitaka wakafuata pirato wakamwambia usiandike hivyo ...unajua kwa nini ? sababu ni wayahudi ndiyo walimchukia yesu kuliko waisrael wasio wayahudi ....Pia nimekuambia siyo shida yesu hata angesema wokovu unatoka wa wayahudi akuwa na maana kuwa uyahudi ni jambo jema bali wokovu...ni sawa na Mungu aseme Mtume atazaliwa na kahaba aitakasi ukahaba au waarabu wanamuita muhamadi ni nuru nao wanasema nuru ilitoka kwa waarabu aina maana waarabu walikuwa wapo sahihi kwenye mambo ya dini .....SASA WEWE NI JIBU HUO WOKOVU UNAOTOKA KWA WAYAHUDI NI KITU GANI ?ili tujue logic ni nini ?YESU KASEMA WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI
WEWE UNASAMA SIO NENO SAHIHI
HIVI KWANINI MNAPENDA UPOTOSHAJI?
KWAHIYO WEWE UNAMZIDI AKILI YESU ALIYESEMA NENO "WAYAHUDI"?
Sawa nini? Unakubali kuwa Quran imeiba maneno kama ISRAEL na haijui maana yake ?Sawaaa.niambie Mungu anapigwa vp na kiumbe wake?
Wewee yakobo anampiga vipi Mungu?Sawa nini? Unakubali kuwa Quran imeiba maneno kama ISRAEL na haijui maana yake ?
Sitaki porojo ,Kwanini wayahudi siyo waisrael nijibu ...nijibu chimbuko la neno wayahudi ni Mungu au wao wenyewe kumbuka biblia imeandikwa na kutiwa mikono neno sahihi ni WOKOVU unatoka kwa WAISRAELI......Yesu mwenyewe aliwaonya watu na mafarisayo na wayahudi akisema wamesimama katika fundisho la Musa hivyo wasikieni ila msitende kama watendavyo wao ....Yesu siku zote alitoa mafundisho yenye kuwashusha wayahudi kwa sababu walijitukuza kidini...na ndiyo maana hata hekima ya Mungu ili wayahudi wasome shitaka la Yesu iliandikwa MFALME WA WAYAHUDI na wayahudi walichukia sana ilo shitaka wakamata herode wakamwambia usiandike hivyo ...unajua nini ? Sababu sababu no wayahudi ndiyo walimchukia yesu kuliko waisrael wasio wayahudi ....Pia nimekuambia siyo shida yesu hata angesema wokovu unatoka wa wayahudi akuwa na maana kuwa uyahudi ni jambo jema bali wokovu...ni sawa na Mungu aseme Mtume atazaliwa na kahaba aitakasi ukahaba au waarabu wanamuita muhamadi ni nuru nao wanasema nuru ilitoka kwa waarabu aina maana waarabu walikuwa wapo sahihi kwenye mambo ya dini .....SASA WEWE NI JIBU HUO WOKOVU UNAOTOKA KWA WAYAHUDI NI KITU GANI ?ili tujue logic ni nini ?
Unakubali kuwa Quran imeiba maneno kama ISRAEL na haijui maana yake ?Wewee yakobo anampiga vipi Mungu?
Bado haujajibu swali nimekupa tafsiri ya kiislam wametafsri kuwa Israel ni MJA wa Mungu wewe unakataa.unasema tafsiri ya biblia ndo sahihi NDO NAKUULIZA YAKOBO ALIMPIGA VP MUNGU?Unakimbilia wapi, jibu unachoulizwa au unaona aibu Quran itaaibika?
Kwakuwa Quran mnasema imekamilika na uislamu ni dini ya haki
Naomba nipe maana ya maneno haya ndani ya Quran
Israel na Zaburi
Au Quran imeyaweka haijui maana yake?😂
Sawa ni tafsiri mbovu,Wewee yakobo anampiga vipi Mungu?
Sawa tumeiba.niambie sasa yakobo alimpiga vipi Mungu?Unakubali kuwa Quran imeiba maneno kama ISRAEL na haijui maana yake ?
Haujui yakobo alimpiga vipi Mungu?Sawa ni tafsiri mbovu,
Je Quran hilo neno ISRAEL imelitoa wapi na maana yake nini?
Ukijibu utaelewa kwanini wenye akili wameachana na uislamu
Wametafsiri kina nani kwa msingi upi ?Bado haujajibu swali nimekupa tafsiri ya kiislam wametafsri kuwa Israel ni MJA wa Mungu wewe unakataa.unasema tafsiri ya biblia ndo sahihi NDO NAKUULIZA YAKOBO ALIMPIGA VP MUNGU?
Safi kwahiyo unakubali Quran imeiba maneno na haijui maana yakeSawa tumeiba.niambie sasa yakobo alimpiga vipi Mungu?
Kwakuwa umekiri mwenyewe kuwa QURAN imeiba na HAIFAI kuwa REJEA kwa mwanadamu maana imeiba maneno ya kiyahudi na haijui maana zake ,basi sasa unafanya nini kwenye hiyo dini ?Haujui yakobo alimpiga vipi Mungu?
Facts lazima ziwe na ushahidi bila hivyo ni sifuriFACT NA LOGIC NI ZAIDI YA ANDIKO KWA HIYO WENYE AKILI WANATAFUTA FACT SIYO HADITHI HADITHI
Umeandika lugha gani ? Hicho si kiswahiliNani kanishika pabaya ....HUYAHUDI NI ITIKADI KALI ZA KIDINI AMBAZO MSINGI WAKE NI POTOVU ...Siyo Mungu alio uamlisha bali ulianzishwa na OUVU WA KIBURI CHA KIDINI...ndiyo maana wayahudi ndiyo walio mpinga sana Yesu na kumuua na kuipinga INJILI