mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Narudia Tena hakuna myahudi YEYOTE ANAYEMKUBALI YESU.na hata agano lipya HAWALIKIBALI.ila wapi waisrael wanaomuamini YESU.uyahudi ni Imani TOFAUTI KABISA NA UKRISTO AMBAO UNAMUAMINI YESU.WAO na Imani yao hawataki kusikia habari za yesu Wala Paulo.ELIMIKAWewe UMEKUBALI QURAN IMEIBA,sasa hivi unadandia mada NYINGINE πππ
Mitume wote wayahudi, Paulo alikuwa myahudi,
Leo Kuna Messianic Faith unawajua ππ
Wewe UMEKUBALI QURAN IMEIBA MANENO YA WATU,unabakije kuwa muislamu? Unajiteteaje hapa
Siyo neno sahihi..... kasome maandiko ya torati Yesu atakuja wapi na ni muisraeli...jina uyahudi ni jina walilojipachika baadhi ya Waisraeli kutokana na uovu wao na ubaguzi pale taifa lilipo pasuka kutokana na wao na mfalme Sulemani kumuasi mungu...tokea hapo jina ilo likawa jina la kibaguzi dhidi ya makabila 9 ya Waisraeli...wayahudi ni kabila ya Yuda (daudi) na walawi(waliopewa dhamana ya kidini na mungu) na Benjamin..hawa ufalme ulivyo gawanyika kutokana na maovu walijibagua kwa kujihita WAYAHUDI ...Ndiyo maana yesu anajikuta ndani ya uyahudi kwa sababu ni uzawa wa daudi ...HIVYO JINA YAHUDI SIYO JINA LA KITAKATIFU NI JINA LA KIBAGUZI na yesu alijikuta ndani yake kwa kuzaliwaJibu swali ,SITAKI HIZO POROJO
YESU KASEMA WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI
WEWE UNASEMA SIO NENO SAHIHI
YAANI WEWE UNAONA SAHIHI KWAMBA YESU ALIKOSEA?
HIVI KWANINI MNAPENDA UPOTOSHAJI?
KWAHIYO WEWE UNAMZIDI AKILI YESU ALIYESEMA NENO "WAYAHUDI"?
ila uko too petty na unafanya cherry picking.Inatakiwa wewe unayeona tafsiri ni potofu, kwakuwa hilo neno ISRAEL lipo kwenye Quran,ni vema ukaleta maana halisi
Simple tu
Quran 2:97 -98Facts lazima ziwe na ushahidi bila hivyo ni sifuri
πππππππKwahiyo shetani ni mwisilam?
Haujui yakobo alimpiga vipi Mungu?
Maana ya israel ni ALIYEPIGANA NA MUNGU AKASHINDA.Malizia mstar wa 29.
"Mwanzo 32:29
[29]Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko."
-Kwanini Yakobo alitaka kujua jina la aliyekuwa ana pigana nae?.
-Kwanini aliyepigana nae akasema "umepigana na Mungu na mwanadamu na ukashinda"?
-Kwanini Binadamu amehusishwa hapo wakat tunaona hakukuwa na mtu mwingine zaid ya hao wawili tu?.
(Kwamba Yakobo kapigana na Binadamu wote na kuwashinda?)
Yakobo alipigana na Malaika wa Mungu. Na sio Mungu.
Malaika ambaye alitumwa na Mungu.
Zingatia hapa
ππYakobo alikuwa ana pigania kutokea kwa jambo ambalo halikuwa Linapaswa kutokea.
Ila alilazimisha na kumuomba Mungu litokee.
Kumbuka alikuwa anajiandaa kupigana na Esau. (Kaka yake)
Na Yakobo aliona vita atashindwa.
Isaka aliwazaa Esau (mtoto wa kwanza )na Yakobo.
Yakobo alijifanya ni Esau na kuiba baraka za kaka yake.
Kwasababu aliyekuwa anatakiwa kubarikiwa ni Esau.
Kwahiyo Yakobo alilazimisha kubarikiwa na baba yake (akafanikiwa) na pia alilazimisha Mungu ambariki yeye kama ambavyo Mungu aliahidi kwa babu yake Ibrahim(na akafanikiwa)
Ndio maana ya huu mstari kuwa
"Umepigana vita na Mungu na binadamu na ukawashinda".
Na sio kama Alipigana vita.
Hapana sio vita .
Alikuwa anapigania Kubarikiwa.
Quran 2:97 -98Ulete tu na andiko linalosema kuwa yule aliyemuona Mtume mapangoni alikuwa ni jini
Bado hujalipata tafuta sana π€£Quran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail adriz FaizaFoxy Covax Malaria 2 Jagina
Maana ya israel ni ALIYEPIGANA NA MUNGU AKASHINDA.
Unasemaje alipigana na malaikaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
Hapo yeye inamrejea JibrilQuran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail adriz FaizaFoxy Covax Malaria 2 Jagina
Soma kwa akili πππ adui wa Mwenyezi Mungu ndiye aliyekuwa anamjia muhammad na kumpa muongozoHapo yeye inamrejea Jibril
Lete andiko linalomtambua kama yule wa pangoni alikuwa ni jini
πππtatizo lako wewe ni shabiki wa diniBado hujalipata tafuta sana π€£
Mwanzo 32:29
[29]Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko."
Acha kupotosha hapo wayahudi wanaambiwa kama wao wanamchukia Jibril basi yeye ndo alimteremshia Mtume Muhammad QurβanSoma kwa akili πππ adui wa Mwenyezi Mungu ndiye aliyekuwa anamjia muhammad na kumpa muongozo
Andiko ulilotoa umetafsiri vibayaπππtatizo lako wewe ni shabiki wa dini
πALIYE kuwa ADUI WA JIBRIL NI NANI?Hapo yeye inamrejea Jibril
Lete andiko linalomtambua kama yule wa pangoni alikuwa ni jini
Sijui leta ilimu πAndiko ulilotoa umetafsiri vibaya
Unajua kwanza chanzo cha kuteremka hiyo aya? π€£
Kwann Wayahudi wamchukie Jibril?.Acha kupotosha hapo wayahudi wanaambiwa kama wao wanamchukia Jibril basi yeye ndo alimteremshia Mtume Muhammad Qurβan