Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Mkishiba na kuanza kujamba hovyo mnakuja na hoja za kijinga Leta hicho kitabu halafu unasoma hiyo Noval yenu vzr
Bro umeelewa hiyo aya vzr ama mambo ya Roho mtakatifu yamekupoteza ndo maana mnapuliza ⛽️ gas
enyi wagalatia msio na akili ni nan amewaroga “
Kwahiyo ibilisi ni mwisilam?Sio shetani ibilisi mashetani wapo wengi
Shetani wapo wangapiKusilimu maana yake kumkiri ALLAH na kumtii.
Kama miongoni mwa mashetani yapo yatakoyomkiri na kumtii ALLAH basi hiyo ni jambo jema kwao.
alikuwa miongoni mwa majini.Kwahiyo ibilisi ni mwisilam?
Kusilimu maana yake kumkiri ALLAH na kumtii.
Kama miongoni mwa mashetani yapo yatakoyomkiri na kumtii ALLAH basi hiyo ni jambo jema kwao.
alikuwa miongoni mwa majini.
Baadae akaasi .alipoambiwa amsujudie Adam akakataa akasema yeye kaumbwa na moto na Adam kaumbwa na udongo.ndipo Mungu akamlaani ibilisi na kuwa jini muovu.
Kabla ya kuasi inasemekana ibilisi alikuwa jini mwema na alikuwa anafanya ibada kama malaika
Wapo majini wema na wabaya.Jibu swali au ukae kimya.
Shetani ni Muislam?.
Kabla ya kujibu. Soma
Quran 18:50
"Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu."
Msisitizo weka hapo waliposema "YEYE ALIKUWA MIONGONI MWA MAJINI".
Huko nyuma tumeona majini yamesomewa Quran ya yakawa Waislam.
HAKUNA JINI MWEMAalikuwa miongoni mwa majini.
Baadae akaasi .alipoambiwa amsujudie Adam akakataa akasema yeye kaumbwa na moto na Adam kaumbwa na udongo.ndipo Mungu akamlaani ibilisi na kuwa jini muovu.
Kabla ya kuasi inasemekana ibilisi alikuwa jini mwema na alikuwa anafanya ibada kama malaika
Wapo majini wema na wabaya.
Unataka kusema nini?
Ibilisi hakuwa malaika.Majini ni majini hakuna wema. Huo ni uongo. Na shetani hata afanyeje haji samehewa na Mungu. Yeye ndo wale malaika walioasi alitupwa nao ndo hao wakawa majini. Hawawezi kuja kuwa wema machoni pa Mungu.
Wapo majini wema na wabaya.
Unataka kusema nini?
Nani kasema Shetani alikuwa Malaika? Adam unarudia rudia si ndo Biblia ilivyosema Quran ika copy na kupaste 😁Ibilisi hakuwa malaika.
Malaika waliumbwa Kwa Nuru,majini ambapo na ibilisi yupo wameumbwa Kwa moto na Adam alikuwa Kwa udongo.
Inavyosemekana Kabla adamu hajaumbwa majini walishaumbwa .HAKUNA JINI MWEMA
MUNGU - MALAIKA
SHETANI - MAJINI
Ibilisi hakuwa malaika.
Malaika waliumbwa Kwa Nuru,majini ambapo na ibilisi yupo wameumbwa Kwa moto na Adam alikuwa Kwa udongo.