mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
π€£π€£π€£π€£.Quran hakika sio muongozo wa Mungu wa kweli
Kufuga majini ni kama kufuga kuku tu.Sheikh sule anafuga majini ,na akibanwa anasema hata mtume alifuga majini View attachment 3456701
Mbona hili limesemwa sana na vitabu vyenu, Tena Hadi vinasema shetan anakaa kwenye pua zenu, pia anawajambia
Unajua hii Quran unayotumia imeundwa hapo Al Azhar University 1924 na mfalme Fuad na wahuni wachache?π€£π€£π€£π€£.
Ila biblia ambayo IMESHUSHWA kiujanja ujanja ndo muongozo wa Mungu wa kweli?
Ebu niambie basi kwanini agano la kale liliandikwa Kwa lugha ya kiyahudi na agano jipya liliandikwa Kwa lugha ya kigiriki?
Nyie. Mimi si kiume wa allah. Huyo ndo mungu wenu ninyi na majiniHakuna jini ambaye mola wake ni shetani . sisi wote ni viumbe vya Allah
Katika Sahih Bukhari na Sahih Muslim, kuna Hadith ifuatayo:Kitabu gani hicho maana nataka kujipa ilmu
Wacha Weeeeehhh.... Ki quran hiyo? Baada ya kuchukua hbr kwenye biblia mkaongezea na stories kama hizo?Kufuga majini ni kama kufuga kuku tu.
Mbona nabii Suleiman alikuwa ana majeshi ya majini?
Hapo ni shetan anakuwa amemwingiza kidole sehemu hiyo kwa mujib wa tafsiri ya Imam Abbas al Mazrui.Katika Sahih Bukhari na Sahih Muslim, kuna Hadith ifuatayo:
βMmoja wenu anapolala, Shetani hulala katika puani mwake. Basi akiamka asisuuze pua yake mara tatu kwa maji.β
(β Sahih Bukhari 3295, Sahih Muslim 238).
π Hii ndiyo inatumika kuonesha imani kwamba Shetani βhukaaβ au βhulalaβ kwenye pua zenu
βWakati mmoja wenu akisimama kuswali, Shetani humjia na kumfanya ahisi kana kwamba ameacha hewa (fart). Akiwa na shaka, asivunje Swala mpaka asikie sauti au aone harufu.β
(β Sahih Bukhari 137, Sahih Muslim 361).
Quran inamsingizia Suleiman,Kufuga majini ni kama kufuga kuku tu.
Mbona nabii Suleiman alikuwa ana majeshi ya majini?
Mambo ya Ku amini maandiko nalo tatizoTupe maandiko yanayothibitisha hilo
Mambo ya Ku amini maandiko nalo tatizo
Kwahiyo wewe hujasoma zaidi ya kusimuliwa habari za babu zako?Mambo ya Ku amini maandiko nalo tatizo
Kwa hyo akiwa myahudi hawezi kuwa muislam?hivi unajua kuwa uyahudi ni utaifa Wala sio dini?Quran inamsingizia Suleiman,
Suleiman ni myahudi ,kabila la Yuda ,
Quran imejaa UPOTOSHAJI mkubwa
Ukiona hivyo Mungu wetu ni mmojaWacha Weeeeehhh.... Ki quran hiyo? Baada ya kuchukua hbr kwenye biblia mkaongezea na stories kama hizo?
Hakuna ushahidi wa kuwepo uislamu kabla ya MuhammadKwa hyo akiwa myahudi hawezi kuwa muislam?hivi unajua kuwa uyahudi ni utaifa Wala sio dini?