Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Ni hakuna jini lichaMungu, hiyo haipo.
Ukisikia jini anaitwa shetani jua huyo sio Muislamu iko hivyoUkifuatilia huko juu.
Mimi nikauliza.
Je?
- kuna mashetan waislam
-kuna mashetan ambao sio waislam.
Si ndio?
Majini Waislam wapo ila Mashetani sio waislamu neno shatani ni kama kusema muovu ila jini ni kiumbeWenyewe wamekiri hapa tena kwa maandiko ya Kwenye Quran kuwa kuna hayo majini na mashetan ambao ni waislam ππππ
Na ambao sio waislam.
Sio MuislamuKwahiyo shetani ni mwisilam?
Huwa maana yake ni yeye na hapo yeye imemaanisha Jibril na sio adui yakeAlaf kabla ya hayo yote.
Hapa Shetan anaishusha Quran kwa makobaz na majini.
Quran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri."
Ukisikia jini anaitwa shetani jua huyo sio Muislamu iko hivyo
Hivyo hakuna shetani Muislamu.
Kwanza nikuulize mashetani ndo viumbe gani?Ujumbe aliopewa Mtume ulikuwa kwa Wanadamu na Majini na Mashetani.
Hayo yanayowapanda watu ni mashetani,jini Muislamu kamwe hawezi kumsumbua binadmu na hana mpango wa kumuingia mwanadamuKwahiyo Wale watu wanaopandisha mashetan/maruhan na hao majini wanataja kabisa majina yao ya kiislam.
Wale ndio majini waislam sio?.
Alaf kuna jini Shetani. Ambaye yeye ndio sio Muislam.
Hayo yanayowapanda watu ni mashetani,jini Muislamu kamwe hawezi kumsumbua binadmu na hana mpango wa kumuingia mwanadamu
Hii aya ina shida gani?Haya nenda kaisome.
Suratil Ahqaaf aya ya 29 mpaka 32,
Au Quran 46 : 29-32
]ΩΩΨ₯ΩΨ°Ω Ψ΅ΩΨ±ΩΩΩΩΩΨ§ Ψ₯ΩΩΩΩΩΩΩ ΩΩΩΩΨ±ΩΨ§ Ω ΩΩΩ Ψ§ΩΩΨ¬ΩΩΩΩ ΩΩΨ³ΩΨͺΩΩ ΩΨΉΩΩΩΩ Ψ§ΩΩΩΩΨ±ΩΨ’Ω ΩΩΩΩΩ ΩΩΨ§ΨΩΨΆΩΨ±ΩΩΩΩ ΩΩΨ§ΩΩΩΨ§ Ψ£ΩΩΩΨ΅ΩΨͺΩΩΨ§ ΩΩΩΩΩ ΩΩΨ§ ΩΩΨΆΩΩΩ ΩΩΩΩΩΩΩΨ§ Ψ₯ΩΩΩΩ ΩΩΩΩΩ ΩΩΩΩ Ω Ω ΩΩΩΨ°ΩΨ±ΩΩΩΩ * ΩΩΨ§ΩΩΩΨ§ ΩΩΨ§ ΩΩΩΩΩ ΩΩΩΨ§ Ψ₯ΩΩΩΩΨ§ Ψ³ΩΩ ΩΨΉΩΩΩΨ§ ΩΩΨͺΩΨ§Ψ¨ΩΨ§ Ψ£ΩΩΩΨ²ΩΩΩ Ω ΩΩΩ Ψ¨ΩΨΉΩΨ―Ω Ω ΩΩΨ³ΩΩ Ω ΩΨ΅ΩΨ―ΩΩΩΩΨ§ ΩΩΩ ΩΨ§ Ψ¨ΩΩΩΩΩ ΩΩΨ―ΩΩΩΩΩ ΩΩΩΩΨ―ΩΩ Ψ₯ΩΩΩΩ Ψ§ΩΩΨΩΩΩΩ ΩΩΨ₯ΩΩΩΩ Ψ·ΩΨ±ΩΩΩΩ Ω ΩΨ³ΩΨͺΩΩΩΩΩ Ω * ΩΩΨ§ ΩΩΩΩΩ ΩΩΩΨ§ Ψ£ΩΨ¬ΩΩΨ¨ΩΩΨ§ Ψ―ΩΨ§ΨΉΩΩ Ψ§ΩΩΩΩΩΩ ΩΩΨ’Ω ΩΩΩΩΨ§ Ψ¨ΩΩΩ ΩΩΨΊΩΩΩΨ±Ω ΩΩΩΩΩ Ω Ω ΩΩΩ Ψ°ΩΩΩΩΨ¨ΩΩΩΩ Ω ΩΩΩΩΨ¬ΩΨ±ΩΩΩΩ Ω Ω ΩΩΩ ΨΉΩΨ°ΩΨ§Ψ¨Ω Ψ£ΩΩΩΩΩ Ω * ΩΩΩ ΩΩΩ ΩΨ§ ΩΩΨ¬ΩΨ¨Ω Ψ―ΩΨ§ΨΉΩΩ Ψ§ΩΩΩΩΩΩ ΩΩΩΩΩΩΨ³Ω Ψ¨ΩΩ ΩΨΉΩΨ¬ΩΨ²Ω ΩΩΩ Ψ§ΩΨ£Ψ±ΩΨΆΩ ΩΩΩΩΩΩΨ³Ω ΩΩΩΩ Ω ΩΩΩ Ψ―ΩΩΩΩΩΩ Ψ£ΩΩΩΩΩΩΨ§Ψ‘Ω Ψ£ΩΩΩΩΩΨ¦ΩΩΩ ΩΩΩ ΨΆΩΩΨ§ΩΩ Ω ΩΨ¨ΩΩΩΩ[
Maana yake,
Na (wakumbushe) wakati tulipowaleta kundi la Majini kuja kwako kusikiliza Qurani. Basi walipoihudhuria walisema (kuambiana): βNyamazeni! (Msikilize maneno ya Mwenyezi Mungu)β Na ilipokwisha somwa walirudi kwa jamaa zao kwenda kuwaonya. Wakasema βEnyi watu wetu! Sisi tumesikia Kitabu kilichoteremshwa baada ya (Nabii) Musa,
kinachosadikisha yaliyokuwa kabla yake na kinachoongoza kwenye haki na kwenye njia iliyonyooka. Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mlingani, (Muitaji) wa Mwenyezi Mungu na muaminini, atakusameheni (Mwenyezi Mungu) dhambi zenu na atakukingeni na adhabu iumizayo.
Na wasiomuitikia Muitaji wa Mwenyezi Mungu, basi hao hawatamshinda (asiwapate) hapa katika ardhi, wala hawatakuwa na walinzi mbele Yake. Hao wamo katika upotofu ulio dhahiri.β
Inakusaidia Nini wewe hapo KIJIWE SAMLI?!Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:
βTangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.β
Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Hapo nataka kujua mashetani ni viumbe gani?πππππ bro tuko kwenye kutoa hoja kuwa Quran ni ya Kobaz, majini na mashetani.
Hapo nataka kujua mashetani ni viumbe ganiπππππ bro tuko kwenye kutoa hoja kuwa Quran ni ya Kobaz, majini na mashetani.
Kuhusu nguruwe kuliwa kwa dharura kama hamna chakula ni kweli ila kama chakula kikiwepo ni haramuBro Chizi Maarifa , hiv unajua hata Kitimoto na bia Muislam anakula tu na hakuna dhambi.
Kitimoto ikiwa ni dharula.
Bia atumie akili.
Quran 2:173
"Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu.
Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."
Na
Quran 16:67
"Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili."
Kwahiyo kobaz wanaotumia Kitimoto na Bia Wanafuata Quran tukufu.
Kumbuka hapo Ibilis alikuwa bado hana sifa ya uovu yaani hakuwa shetaniJibu swali au ukae kimya.
Shetani ni Muislam?.
Kabla ya kujibu. Soma
Quran 18:50
"Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu."
Msisitizo weka hapo waliposema "YEYE ALIKUWA MIONGONI MWA MAJINI".
Huko nyuma tumeona majini yamesomewa Quran ya yakawa Waislam.
Sasa hiyo si kwa mujibu wa biblia kwani imetajwa kwenye Qurβan πMajini ni majini hakuna wema. Huo ni uongo. Na shetani hata afanyeje haji samehewa na Mungu. Yeye ndo wale malaika walioasi alitupwa nao ndo hao wakawa majini. Hawawezi kuja kuwa wema machoni pa Mungu.
Pakada shetani ataswali vipi na wewe? πKo kumbe Sheikhtwani nae ni swala 5 ?
Shetani sio MuislamTafadhali jibu swali au ukae kimya.
shetani ni Muislam?.
This time ukijibu zingatia maneno kutoka kitabu chenu kinachoitwa Asili ya majini. Ukurasa wa 20.