Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Hujaambiwa shetani umeambiwa Ibilis alikataa na baada ya kukataa ndo akawa shetaniHebu niletee aya ya Quran inayosema
Hii ya Ibilisi kuumbwa kwa moto.
Alaf urudie kusoma Quran 18:50.
Msisitizo weka pale Allah aliposema
"Na tulipowaambia Malaika, msujudie Adam....
Alaf Shetan akakataa..
" hapa shetan amehusikaje?.
Ilikuwaje Ibirisi akawa Shetani ?Kumbuka hapo Ibilis alikuwa bado hana sifa ya uovu yaani hakuwa shetani
Alikuwa ni mwemaIlikuwaje Ibirisi kuwa Shetani ?
Na kabla ya kuwa Shetani alikuwa nani ?
Lete Madini Mkuu
Kumbuka hapo Ibilis alikuwa bado hana sifa ya uovu yaani hakuwa shetani
Alikuwa mwema katika hadhi ipi?Alikuwa ni mwema
Kumbuka shetani maana yake ni muovu na sio kiumbe fulani
We kuwa serious bhana wapi nimesema shetani alikuwa malaika 🤣🤣🤣Shetan alikuwa malaika.
Alikuwa jiniAlikuwa mwema katika hadhi ipi?
Ua alikuwa Malaika kabla ya kuwa shetani:
Au alikuwa Jini ?
Mkuu tuheshimiane bhana yaani mimi niseme kuwa kuna malaika wameasi na kuwa mapepo 🤣🤣🤣Majini /pepo / shetan wote ni Malaika walioasi.
We kuwa serious bhana wapi nimesema shetani alikuwa malaika 🤣🤣🤣
Halafu mbona unachagua post za kujibu nyingine nikikuuliza huzijibu 😃
Sijawahi kutaja neno pepo kwenye uzi huuAlaf kuna Majini /pepo wameshaslim na kukubali quran ya allah 😂😂😂😂
Na wengne bado maana hawajasikia quran na wako pamoja na Kiongoz wao Ibilisi.
Na kwasababu ni mapepo wabaya . Huwa wana waingilia Watu.
(Na pia hayo mapepo yana majina ya Kiislam😂😂😂 )
Ila sio waislam.
Maana wale mapepo wazur hawawaingilii watu.
Mkuu unapojaribu kusema unamnukuu mtu kuwa makini sana fuatilia vizuri alichosemaHii ni according na ww @Al-mukheef
Ibilis ni jini mpaka leo na hajawahi kuwa malaikaHapa inaonesha Ibirisi mwanzo alikuwa Jini
[ AL - KAHF - 50 ]
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye
Hapa inaonesha Ibirisi mwanzo alikuwa Malaika
T'AHA - 116 ]
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Wakasujudu, isipo kuwa Iblisi, alikataa.
Kutokana na hizo Aya bado sijaelewa Ibiri mwanzo alikuwa Jini au Malaika:
Au vyote yaani Majini ndio Malaika
Sema watu na majini maana mashetani ni watu waovu na majini waovuNtazijibu hizo.
Mm hoja yangu ni kuonyesha kuwa Quran ni kwa ajili ya Watu, majini na mashetan.
Msisitizo na focus uko hapa.
Mkuu tuheshimiane bhana yaani mimi niseme kuwa kuna malaika wameasi na kuwa mapepo 🤣🤣🤣
Alikuwa ni mwema
Kumbuka shetani maana yake ni muovu na sio kiumbe fulani
Alikuwa mwema katika hadhi ipi?
Ua alikuwa Malaika kabla ya kuwa shetani:
Au alikuwa Jini ?
Sasa inakuwaje Allah awaambie Malaika wamsujudie adam na wanatii halafu adhabu anapewa Jini ya kuto msujudia Adam:Ibilis ni jini mpaka leo na hajawahi kuwa malaika
Shetani anaweza akawa mtu au jini lakini usitarajie kuwa kuna aina ya kiumbe anaitwa shetaniNa hapa uliposema kuwa Shetan hakuwa kiumbe
Kwa sababu alikuwa pamoja nao na anri ilipotoka ilisema "msujudieni Adam"Sasa inakuwaje Allah awaambie Malaika wamsujudie adam na wanatii halafu adhabu anapewa Jini ya kuto msujudia Adam:
Ni wapi Jini ibirisi aliambiwa amsujudie Adam ?
T'AHA - 116 ]
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam!
Wakasujudu, isipo kuwa Iblisi, alikataa.
Shetani anaweza akawa mtu au jini lakini usitarajie kuwa kuna aina ya kiumbe anaitwa shetani
Alikuwa jiniIpo haja ya kujibu hili la ndugu yangu @che-mittoga ili tuwekane sawa katika tafsiri.👇