Muhammad Al Jawlani Rais mpya wa Syria yuko kwenye wanted list ya USA

Baada ya FAFO, ikowapi True Promise?
 
I have always said that the US is the mother of terrorism.Sijui kama kuna mtu atapinga concept hii tena.It is out there in the open.
 
Waarabu Intelligence ni Zero lakini Jazba ni 100%, Israel ni kinyume chake Jazba Zero Intelligence 100%

Waarabu wengi wanasema kuwa wameachana na njia ya Allah ndio maana wanapewa Mitihani.
Israel Hana intelligence yoyote ile hata Tanzania ingekuwa inatengewa billion 10$ kila mwaka na misaada lukuki ya silaha na mataifa zaidi ya 30 lazima ungekuwa unaonekana unaakili?
 
Dah!Kwa hiyo aanze kuvaa helmet muda wote drone igonge mwamba?Mola amrehemu InshaAllah!๐Ÿ™
 
Ilikuwa ni kipindi hicho na sio sasa!
Ndio utajua kuwa hujui. Achana na siasa za Mashariki ya kati, Vinginevyo utaingia wazimu. Ndio maana Biden amesema ngoja tumuangalie matendo yake. Haya ni maelezo ya kutomuamini.
 
Israel Hana intelligence yoyote ile hata Tanzania ingekuwa inatengewa billion 10$ kila mwaka na misaada lukuki ya silaha na mataifa zaidi ya 30 lazima ungekuwa unaonekana unaakili?
Waisraeli wametapakaa Dunia nzima baada ya Exodus tofauti na Waarabu ambao baada ya Islamic Conquest kuisha wengi walirejea kwenye maeneo yao ya asili.
 
Waisraeli wametapakaa Dunia nzima baada ya Exodus tofauti na Waarabu ambao baada ya Islamic Conquest kuisha wengi walirejea kwenye maeneo yao ya asili.
Waarabu ndo wametapakaa Dunia nzima ndo maana ukienda Morocco mpaka misri na hiyo ni Africa tu wao waisrael wapo wapi?
 
Yeye mwenyewe ameshaombwa kuondolewa kwenye hiyo list.
Amekiri ni kweli alikuwepo Al Qaeda lakini baadaye akatambue kuwa wafanyacho ni kinyume na alichotarajia na ndiyo maana akajitenga nao kwa kuwa yeye ni mtu mzuri.

Ameahidi wataona ukweli wa anayoyaongea kuitia utawala wake na namna atakavyoiongoza Syria.
 
Shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ