Muhammad Ali alazwa tena Hospitali

Muhammad Ali alazwa tena Hospitali

K-Boko

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
697
Reaction score
218
Aliyekuwa bingwa wa ndondi wa uzito wa juu duniani, Muhammad Ali, amelazwa tena hospitalini leo huko Marekani kwa matatizo ya maambukizi katika mfumo wa viungo vyake vya haja ndogo. Ali alitolewa hospitali hivi karibuni alikokuwa amelazwa kutokana na matatizo hayo hayo.

Source: CNN
 
Duh chuma hiki mola akifanyie wepesi kuna quote yake moja anasema "inside of a ring or outside aint nothing wrong with going down .Its staying down that's wrong.
 
Kila zama na kitabu chake kwangu mimi ally anabaki kuwa bondia bora kuliko wote alikuwa anaweza kumaliza pambano round ya kwanza lakini atalibembeleza mpaka round ya mwisho ili mashabiki wapate burdani huwezi kumfananisha na mike ambae sekunde 10nyingi shughuli imeisha.
Ogapa mtu alie wadondosha sonny, foremen na frazier achilia mbali spinks mpaka ukaja msemo mtu mwenye mapengo aliitwa spinks sidhani kama dotcom wanajua hilo huyo ndo ally anakwambia "sting like a bee and jump like a butterfly "
 
Back
Top Bottom