Nakusikiliza..We ndio unakuja kuharibu jamvi... Muda wooote -tv thinking
Hujaangalia dini hapo kweli ?
Muhammad Ali anasifika kwa kuwa na moyo wa ujasiri
sababu mabondia wengi aliopigana na akashinda walikuwa
wanamzidi karibu kila kitu
Ali mbele ya Liston alionekana si chochote
lakini alishinda kwa kum frustrate Liston hadi akagoma kuendelea
Ali na George Foreman Kinshasa ilikuwa kila mtabiri katabirii Ali kupigwa
Foreman alikuwa hajawahi kupigwa......na alikuwa very very strong
Mazoezi tu ya foreman yalitisha....ile punching bag ilikuwa inaacha alama za mashimo kwa mda mrefu sana..
watu walijua si tu Ali anapigwa but anapigwa vibaya...
Ajabu sana Foreman alirusha ngumi nyiingi sana..but alikuja kupigwa na ngumi moja tu....chini...
Uwezo wake.Naam, wala hujakosea, wewe ulimpenda kwa kuwa alikuwa anaitwa nani?
Alikuwa tishio kipindi HICHONaam, wala hujakosea, Muhammad Ali alikuwa na uwezo wa kipekee.
Kuna ubaya kwa kumpenda kwa sababu anaitwa Muhammad Ally Acha uvivu wa kufikiriWengi wanampenda kwakuwa alikuwa anauwezo na alikuwa anaburudisha ila wewe unampenda na kumsifia kwa sababu aliitwa muhammad ali
Kweli kabisa na jina lake la asili ambalo wazazi wake wanamtambua ni Cassius Marcellus clay Jr.Naam, hakuna mbadala wa Muhammad Ali hadi leo hii, si ulingoni tu hata nje ya ulingo:
Hakuna ubaya wowote dogo wengi tunampendea uwezoKuna ubaya kwa kumpenda kwa sababu anaitwa Muhammad Ally Acha uvivu wa kufikiri
Ni kweli kabisa Mohamad Alli alikuwa zaidi ya mpiganaji ngumi, the guy was one of sport's most charismatic entertainer.Sidhani kama atatokea mpiganaji ngumi aliyefurahisha dunia kama huyu:
Kweli kabisa na jina lake la asili ambalo wazazi wake wanamtambua ni Cassius Marcellus clay Jr.
Kuna ubaya kwa kumpenda kwa sababu anaitwa Muhammad Ally Acha uvivu wa kufikiri