Muhammad Ali amazing boxer

Muhammad Ali amazing boxer

Wengi wanampenda kwakuwa alikuwa anauwezo na alikuwa anaburudisha ila wewe unampenda na kumsifia kwa sababu aliitwa muhammad ali

Naam, wala hujakosea, wewe ulimpenda kwa kuwa alikuwa anaitwa nani?
 
Muhammad Ali anasifika kwa kuwa na moyo wa ujasiri
sababu mabondia wengi aliopigana na akashinda walikuwa
wanamzidi karibu kila kitu

Ali mbele ya Liston alionekana si chochote
lakini alishinda kwa kum frustrate Liston hadi akagoma kuendelea

Ali na George Foreman Kinshasa ilikuwa kila mtabiri katabirii Ali kupigwa

Foreman alikuwa hajawahi kupigwa......na alikuwa very very strong

Mazoezi tu ya foreman yalitisha....ile punching bag ilikuwa inaacha alama za mashimo kwa mda mrefu sana..

watu walijua si tu Ali anapigwa but anapigwa vibaya...

Ajabu sana Foreman alirusha ngumi nyiingi sana..but alikuja kupigwa na ngumi moja tu....chini...


Nimebandika hilo pambano juu hapo, tazama raundi ya tatu.
 
Kweli kabisa na jina lake la asili ambalo wazazi wake wanamtambua ni Cassius Marcellus clay Jr.

Hilo ni jina lake alipokuwa kizani, alipojaaliwa kuiona nuru, akaitwa Muhammad Ali na wazazi wake wote wanamtambua kwa hilo.

Sijui kinakuuma nini kijana kwa Muhammad Ali kusilim?

Mwenyewe anasema hakuna kitu bora katika maisha yake kama Uislam wake, sasa wewe unakereka nini?

Tazama huyu alikuwa kama wewe hataki kumuita Muhammad Ali, akampa kichapo huku anamuuliza "What is my name":

 
Kuna ubaya kwa kumpenda kwa sababu anaitwa Muhammad Ally Acha uvivu wa kufikiri

Tunampenda sana kwa hilo jina lake, unajuwa kuwa Muhammad Ali alikataa jina lake lisiwekwe barabarani katika "walk of fame"? Ambako ma star wakubwa wengi wana majina yao hapo? Jina lake pekee ndiyo lipo juu ukutani na halikanyagwi na mtu. Jionee:


Kwanini tusimpende kwa hilo?
 
Back
Top Bottom