GE2025 Muhammad Kassim: Oktoba 29 tumemaliza, hakuna maandamano

GE2025 Muhammad Kassim: Oktoba 29 tumemaliza, hakuna maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtambile Pemba kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Muhammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa katika Jimbo la Mtambile ni sherehe za ushindi za chama hicho zinaendelea na hakuna dalili za maandamano yoyote.

Muhammad ameyasema hayo katika mfululizo wa kampeni za CCM katika Jimbo la Mtambile Pemba huku pia akitumia jukwaa hilo kuwaombea kura Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea wa CCM katika ngazi ya urais Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Dkt. Hussein Mwinyi, Rais wa Zanzibar na mgombea wa nafasi ya urais Zanzibar kupitia CCM.

 
Back
Top Bottom