Muhammed Ali wa Jicho Pevu: A true investigation reporter

Jamaa yuko vizuri sana, sikuwahi kumfahamu ila kuna mtu alitupia Video moja ya Viongozi wahongo wa Kiroho ilikuwa balaa
 
Ile ilikuwa ni hatari, nafananisha na ya kwetu hapa kidogo.

What a talented guy
Ukiangalia makala zake kama zile za kifo cha George Saitoti na hata ile ya westgate. Utampenda. Hes detailed sana

Niliipenda makala yake ya 'Paruwanja la mihadarati'

Namkubali sana huyu mwandishi, bado sijaona wa kumfananisha nae Mungu amlinde. Ni tunu ya waKenya
Huyu jamaa ni kiboko nilimwangalia ile makala yake ya alipoingia kwa maharamia wa somalia kuhusu kupata support toka Kenya na Dubai, na ya yule mchungaji aliekuwa analisha wauumini maneno ili avutie watu akirusha kwenye TV
 
Dah jamaa yuko vizuri sana asee. Mi nilimfahamu kwenye ile makala yake ya John Kibera: Mwizi wa Majeneza
 
This dude ako far I love his Work BT they are trying to silence him....They tortured his wife & kid so sad!
 

Katika ubora wako na wewe leo asubuhi!
 
siku zake zikifika huyu mwana serikali itamfanya vibaya sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…