KIBONGOMKUTI
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 1,425
- 609
Jamaa yuko vizuri sana, sikuwahi kumfahamu ila kuna mtu alitupia Video moja ya Viongozi wahongo wa Kiroho ilikuwa balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ilikuwa ni hatari, nafananisha na ya kwetu hapa kidogo.
What a talented guy
Ukiangalia makala zake kama zile za kifo cha George Saitoti na hata ile ya westgate. Utampenda. Hes detailed sana
Niliipenda makala yake ya 'Paruwanja la mihadarati'
Huyu jamaa ni kiboko nilimwangalia ile makala yake ya alipoingia kwa maharamia wa somalia kuhusu kupata support toka Kenya na Dubai, na ya yule mchungaji aliekuwa analisha wauumini maneno ili avutie watu akirusha kwenye TVNamkubali sana huyu mwandishi, bado sijaona wa kumfananisha nae Mungu amlinde. Ni tunu ya waKenya
Mie simkubali Moha...yeye ni mtu ambaye anpenda ktumia half-truths and whole lies. Ndio, anajaribu pahali pengi, lakini yeye anapenda kuwasifu magaidi wa al-shabaab. Hutawahi kumsikia akiwaita al-shabaab "Magaidi." Bali utamsikia akiwaita wapiganaji. Hii ni dalili ya wale wote wanaoabudu al-shabba na umwagaji wa damu. Hata al-jazeera wana huo upuzi.
Jambo lingine pia ni kuwa wao hudanganyika upesi sana. Kuna wakati fulani walichezewa shere (nikidhani na majasusi wa Kenya,) na kudanganywa kuwa felicen Kabuga yupo Kenya. Walipeperusha picha za mwananchi wa Kenya kisha walipopatikana, hawakuomba msamaha. Huu ni unafiki wa hawa watangazaji.