Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 17, 2024 #1 Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa Your browser is not able to display this video.
Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa Your browser is not able to display this video.
The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 8,082 Reaction score 17,838 Nov 17, 2024 #2 Waufukweni said: Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa. View attachment 3154471 Click to expand... Jamaa kakosea sana angepotezea hana staha. Yani anaongea kwa furaha
Waufukweni said: Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa. View attachment 3154471 Click to expand... Jamaa kakosea sana angepotezea hana staha. Yani anaongea kwa furaha
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Nov 17, 2024 #3 Tumshukuru Mungu ametoka mzima
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Nov 17, 2024 #4 The Mongolian Savage said: Jamaa kakosea sana angepotezea hana staha. Yani anaongea kwa furaha Click to expand... kasema wote 26 wamepona, Kanusurika kufa, unadhani atakuwa na majonzi ?
The Mongolian Savage said: Jamaa kakosea sana angepotezea hana staha. Yani anaongea kwa furaha Click to expand... kasema wote 26 wamepona, Kanusurika kufa, unadhani atakuwa na majonzi ?
J John Wickzer Mulholland JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 6,656 Reaction score 14,403 Nov 17, 2024 #5 Waufukweni said: Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa View attachment 3154471 Click to expand... Okay, ni suala la kumshukuru Mungu Sana. He back from the hell.
Waufukweni said: Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa View attachment 3154471 Click to expand... Okay, ni suala la kumshukuru Mungu Sana. He back from the hell.