Jengo la ghorofa lililokuwa likijengwa limeanguka katika Barabara ya 9, eneo la Eastleigh, Nairobi, Ijumaa, Oktoba 23, 2026, huku hofu ikitanda kuwa baadhi ya watu huenda wamenasa kwenye kifusi.
Idadi ya watu walioathirika bado haijathibitishwa.
Kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo lilisababisha...