Muhanga wa hodgkin's disease

king herode

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
368
Reaction score
571
Za leo wapendwa, nipo mbele yenu nikiwa ni mhanga na muathirika wa HD mpaka sasa nishafanya chemotherapy 2nd cycle umebaki uvimbe mdogo sana kwa ndani(mpaka ushike ushike nodes) ndo unafeel kiuvimbe na daktari kanambia kwamba imesharud kwenye normal level lakini hii chemotherapy ni mtihani sana na nataman nisipatwe na janga hili tena kuanzia recurrence au aina yoyote ya saratani ila Mungu ndie mpangaji. Maswali yangu kwenu wataalam nn haswa kisababishi cha hili gonjwa?,likitibika kuna percent ngap ya kujirudia?,kuna dawa nje ya chemo za asili ninazo weza tumia zikanisaidia kupunguza sumu na makali ya chemo?,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sina ufahamu sana wa huu ugonjwa...lakini unaweza kumcheki dada mmoja anaitwa Jema yy ni survivor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cancer ni Bahati mbaya tu mkuu pale seli zako za mwili zikianza kufanya kazi isiyopaswa kufanywa. Japo kuna nyingine zinatokea kutokana na lifestyle au mazingira ya shughuli za maisha ya kila siku etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…