king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 368
- 571
Za leo wapendwa, nipo mbele yenu nikiwa ni mhanga na muathirika wa HD mpaka sasa nishafanya chemotherapy 2nd cycle umebaki uvimbe mdogo sana kwa ndani(mpaka ushike ushike nodes) ndo unafeel kiuvimbe na daktari kanambia kwamba imesharud kwenye normal level lakini hii chemotherapy ni mtihani sana na nataman nisipatwe na janga hili tena kuanzia recurrence au aina yoyote ya saratani ila Mungu ndie mpangaji. Maswali yangu kwenu wataalam nn haswa kisababishi cha hili gonjwa?,likitibika kuna percent ngap ya kujirudia?,kuna dawa nje ya chemo za asili ninazo weza tumia zikanisaidia kupunguza sumu na makali ya chemo?,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app