Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Labda hujafika Mbeya mbwa wewe!! Mapato ya Mbeya kwa mujibu wa takwimu za NBS ni ya 4 baada ya Dar, Mwanza na ArushaBabkubwa...
Mji umejaa washamba huu wa vijijini...
Mtu anatoka kwenye tembe za tope huko maporini , ila akifika Dar anaanza kuwaponda watu wa Mbagala,.....
Wakati mzunguko wa hela Mbagala ni zadi ya Iringa au Mbeya mjini....