Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Mar 15, 2025 #421 Teknocrat said: Babkubwa... Mji umejaa washamba huu wa vijijini... Mtu anatoka kwenye tembe za tope huko maporini , ila akifika Dar anaanza kuwaponda watu wa Mbagala,..... Wakati mzunguko wa hela Mbagala ni zadi ya Iringa au Mbeya mjini.... Click to expand... Labda hujafika Mbeya mbwa wewe!! Mapato ya Mbeya kwa mujibu wa takwimu za NBS ni ya 4 baada ya Dar, Mwanza na Arusha
Teknocrat said: Babkubwa... Mji umejaa washamba huu wa vijijini... Mtu anatoka kwenye tembe za tope huko maporini , ila akifika Dar anaanza kuwaponda watu wa Mbagala,..... Wakati mzunguko wa hela Mbagala ni zadi ya Iringa au Mbeya mjini.... Click to expand... Labda hujafika Mbeya mbwa wewe!! Mapato ya Mbeya kwa mujibu wa takwimu za NBS ni ya 4 baada ya Dar, Mwanza na Arusha
Mookiesbad98 JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 2,805 Reaction score 3,640 Mar 15, 2025 #422 Halafu wengi waswalihina. Wazee wa mipango kina Idd Azan.