Muhas kujiunga na MD kwa diploma wanapewa nafasi ngapi?

Muhas kujiunga na MD kwa diploma wanapewa nafasi ngapi?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nakumbuka kuna idadi ya wanafunzi waliotengewa nafasi za MD kwa diploma qualification. Huwa ni nafasi ngapi?
 
Wanachukua GPA ya 5 tu,sema O lvele wanaangali ndio wengi hutolewa hapo
Noted! na kwa sasa hivi 5 ni kibao, wanapeana tu
By the way ni Rule iko kwenye university rules au vipi?
 
Back
Top Bottom