MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

Wewe pia una shida. Nani kakwambia daktari mzuri lazima awe kasoma CUHAS au MUHAS tu?
 

Hi hatari sana; Unachukua sample ya 0.05% kutoa conclusion?
Hapo pia hujataja uliokuwa unawalinganisha walikuwa na pass mark (GPA ngapi?)
Post yako inadhalilisha taaluma ya research!!!
 
Hi hatari sana; Unachukua sample ya 0.05% kutoa conclusion?
Hapo pia hujataja uliokuwa unawalinganisha walikuwa na pass mark (GPA ngapi?)
Post yako inadhalilisha taaluma ya research!!!

Huna akili
 
Hii comment inafikirisha sana....imetoka katika kichwa chenye kufikiri mno...

Kudos

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio daktari achana na huyo bado mwanafunzi yupo chuo. Akili ya daktari aliyekazini haiwezi kuwa kama ya huyo bwana mdogo.

Japokuwa mimi hua nna mizimu ya babu yangu dokita nahisi akili yake ipo kwenye ubongo wangu eti mkuu au unaonaje
Hakika
 
Uliposema tu kuwa gynazol ni dawa nikakuona na wew ni wahitimu wa vyuo vya ghorofa ya nne,

Kuna miconazole Vaginal pessaries,
Yahani bora hata usingechangia mada mzee unaelewa ulichoandika?ngoja nikuulize unaijua gynazole?na jamaa kaandika nini kuhusu gynazole au umekurupuka...tupo hapa kuangalia na kukurekebisha
 
CUHAS hakuna kitu bora hata kairuki,
Kwanza wanafunzi wa bugando muache kutembea na clinical Coats mitaani, yaani imefikia hatua unalikuta jitu tena MD5 liko na clinical coat Sokoni linaemea bamia.
CUHAS badilikeni acheni ushamba
 
Tatizo unaweza kushangaa zaidi ukiwa-assess wenye A na hizo D
Sidhani kama hizo A na D ndizo zinawafanya wengine wawe wazuri na wengine wasiwe wazuri. Kumtengeneza daktari mzuri ni multifactorial, kunachangiwa kidogo sana na hizo flat A au flat D. Sometimes the relatioship may even be inverse.
 
MUHAS na UDOM kwa Div. II Medicine sahau.
 
Hamna cha kujifanya umetoka nchi gani wala nini, wewe ni pimbi tu mmoja umeenda kuchukua arv ukakumbukia ulivyofeligi kusoma medicine
 
Kinachokusumbua wewe ni wivu na roho mbaya, kama unaona huruma usingekimbilia nje ungebaki kutibu watu wa nchi yako, wewe ni kati ya wale jamaa washamba sana.
Hahaha...mtu akisoma post yako anaona kabisa wewe ndo mwenye wivu. Likely kwa sababu mchongo wa kwenda nje umeukosa.
 
Hivi nataka kuwa daktari, topic ya projectile ya form six inanisaidia Nini.
Kwanza inapima IQ yako kama inatosha kuwa doctor.

Pili ndani ya mwili wa binadamu kuna projectiles nyingi sana. Kwa mfano dawa unayochomwa mkononi inakuwa inakuwa projected kwenye maeneo mbali mbali ya mwili. Hata hicho chakula unachokula kuna projectiles zake.

Mwili wa binadamu una physics na chemistry zote. Una mahesabu yote na kadhalika. Daktari wa binadamu ni engineer wa binadamu. Anasomea namna vile Mungu alivyomuumba binadamu. Ni matumaini kuwa siku itafika daktari atakuwa na uwezo wa kuumba binadamu mwenzake hata kama si kwa kiwango cha Mungu lakini siyo robot. Yaani kutakuwa na man-made man na God-made man. Sasa utawezaje kudahili wanafunzi wa chini ya A pass mark kwenye taaluma kama hii ya uumbaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…