Muhas waanza kurudishwa!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,986
Reaction score
5,058
Wale madaktari na watumishi wa afya wa miaka ijayo waliosimamishwa chuo kwa tuhuma za kuwa vinara wa mitafaruku wameanza kurudishwa mmoja baada ya mwingine. Kila m1 anaitwa kwenye kamati ya nidhamu na baadaye anaelekezwa kwenda chuoni kusaini mkataba mbele ya mwanasheria wa chuo. Mkataba huo unahusu kutojihusisha na vuguvugu lolote chuon hapo kinyume chake unafukuzwa chuo. Mahojiano yameanza tar 4 na bado yanaendelea. Source-wahusika waliorudishwa
 
Kaka wanarudishwa lakini wengine kwenye wale wale waliohojiwa na panel tar 4 wanfz kama 6 wameambiwa waendelee na suspension hadi watakapoitwa wakiambiwa kesi zao nzito watulie kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…